2Az Marketing Solutions

2Az Marketing Solutions Hii ni kurasa maalum inayotoa huduma za Masoko mtandaoni. Tunajihusisha na kutengeneza na kusimamia matangazo ya kulipia yenye tija.

04/04/2025
MABADILIKONdugu wadau wa page hii! Habari zenu?Nachukua nafasi kutangaza rasmi kwamba hivi karibuni tunakwenda kubadilis...
08/02/2025

MABADILIKO

Ndugu wadau wa page hii! Habari zenu?

Nachukua nafasi kutangaza rasmi kwamba hivi karibuni tunakwenda kubadilisha Maudhui ya Page hii na kuwa Marketing Agency (Wakala wa Masoko) Mtandaoni.

Hivyo basi kwa yeyote anataka huduma zetu atapata OFFER ya baadhi huduma tunazotoa Bure kabisa.....

Huduma zetu ni:
✅1. Kutengeneza Account za Kibiashara za Meta (Fb, Insta na WhatsApp)
✅2. Kubadili Account ya kuwa ya Kibiashara
✅3. Kuset Security imara katika Account zako ili isidukuliwe
✅4. Kukagua Account yako k**a inafaa kwa Matangazo
✴️5. Kutengeneza Matangazo ya Kulipia Mtandaoni
✴️6. Kusimamia Matangazo ya Kulipia Mtandaoni
✴️7. Kutathmini na Kutafsiri Report za Matangazo Mtandaoni
✴️8. Kukwepa Madeni ya Mtandaoni kwa Account ile ile bila kubadili
✴️9.Kuondoa Restricted na Inactive kuwa ACTIVE
✴️10. Kuongoza Wafanyabiashara

OFFER... ....! 📢📢
Huduma namba 1 hadi 4 ni BURE kabisa kwa Watu 10 wa Mwanzo pekee.

Kampuni ni Kongwe na Mahiri kwa sababu inafanya kazi na kampuni kubwa ya Digital https://akilikubwadigital.com/

Wasiliana nasi kwa
Call/WhatsApp: +255786909945
Facebook: https://www.facebook.com/share/15bZkQKkc4/
Instagram: https://www.instagram.com/athuman_marketing?igsh=aGQyM2loZGNjd2M4

Comment
Share
Follow

Address

Tabora Municipality
Dar Es Salaam
45113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 2Az Marketing Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share