Micky Trending

Micky Trending πŸ”₯ Kinachotrend, tunakuletea!
πŸ“° News | 🎬 Entertainment | ⚽ Sports
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania & 🌍 Dunia
πŸŽ₯ Updates β€’ Stories β€’ Reactions
Follow us usipitwe!

Mjomba Kacheza Mechi 5 Kwenye Izo Mechi 5 Kawa Man Of The Match Kwenye Mechi 4πŸ”₯
01/09/2026

Mjomba Kacheza Mechi 5 Kwenye Izo Mechi 5 Kawa Man Of The Match Kwenye Mechi 4πŸ”₯

OBASI ASHUKURI BUSARA YA MWAMUZIπŸ“ŒHuyu nae Eti β€˜Professional player’ dakika ya 10 ya mchezo anaingia kwenye mtego wa Bacc...
01/09/2026

OBASI ASHUKURI BUSARA YA MWAMUZI

πŸ“ŒHuyu nae Eti β€˜Professional player’ dakika ya 10 ya mchezo anaingia kwenye mtego wa Bacca kirahisi sana kasukumwa body to body kalipa kwa kiwiko bahati yake tuu mwamuzi katumia busara ila kwa mwamuzi aliyevurugwa angeangalia intension (Dhamira) ilikuwa Red Card ile ❌

Neno moja kwa wekundu
31/08/2026

Neno moja kwa wekundu

31/08/2026

Goli la Shasha man,,,shalulileeee

Kikosi kazi dhidi ya Fountain Gate FCπŸ”°πŸ’ͺ🏽
31/08/2026

Kikosi kazi dhidi ya Fountain Gate FCπŸ”°πŸ’ͺ🏽


Takwimu za Mbwana Samatta ,Mechi ya pili Lyon vs Le Havre ligi kuu Ufaransa (Ligue),Zimeendelea kuwa Bora zaidi baada ya...
31/08/2026

Takwimu za Mbwana Samatta ,Mechi ya pili Lyon vs Le Havre ligi kuu Ufaransa (Ligue),Zimeendelea kuwa Bora zaidi baada ya kuweka kimiani goli lake la kwanza la Kufungua kabati la Magoli Msimu huu 2026/2027.

Dakika alizocheza Uwanjani :90'
Magoli :1( Dakika ya 74' Kwa Kichwa ).
Jumla ya pasi :18
Pasi Zilizofika :12
Mashuti yaliyolenga lango :1

Ikumbukwe Samatta ameweka rekodi ya Kuwa Mtanzania wa Kwanza kucheza Ligue 1 na kufunga magoli .

31/08/2026

Semaji anasema Taarifa njema ya kurejea kwa Yusuph Kagoma

Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kazi ipo leo Arusha πŸ’šπŸ’›πŸ’š kuna kuna kutoboa kweli 🚧 Line up ndo k**a hiyo apoπŸ™ ila tujitokeza Kwa wingi ...
31/08/2026

Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kazi ipo leo Arusha πŸ’šπŸ’›πŸ’š kuna kuna kutoboa kweli 🚧 Line up ndo k**a hiyo apoπŸ™ ila tujitokeza Kwa wingi Wana YANGA kuona mafanikio ya team yetuπŸ’― Kisha follow

πŸš¨πŸ”΄ SIMBA SC KLABU BINGWA AFRIKA! πŸ†βš½ Mechi: Mighty Wanderers πŸ†š Simba SCπŸ“… Tarehe: 6 Septemba 2026⏰ Muda: Saa 12:00 jioniπŸ† ...
31/08/2026

πŸš¨πŸ”΄ SIMBA SC KLABU BINGWA AFRIKA! πŸ†

⚽ Mechi: Mighty Wanderers πŸ†š Simba SC
πŸ“… Tarehe: 6 Septemba 2026
⏰ Muda: Saa 12:00 jioni
πŸ† Mashindano: CAF Champions League – Raundi ya Awali
πŸ“ Eneo: Bingu National Stadium πŸ‡²πŸ‡Ό

πŸ” Marudiano: 12 Septemba 2026, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Bado wiki moja kuanzia hii leo kabla ya kuanza kuitangaza Tanzania

fans

Ni AIBU kipaji k**a hichi kinashindwa kuitumikia Timu ya Taifa ya Kongo. Nzengeli anakupa kila kitu uwanjani yani kuna m...
31/08/2026

Ni AIBU kipaji k**a hichi kinashindwa kuitumikia Timu ya Taifa ya Kongo. Nzengeli anakupa kila kitu uwanjani yani kuna muda nafikiri angekuwa mchezaji wa Stars angetusaidia sana.

Serikali na Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania inabidi itumie akili sana kushawishi vipaji k**a hivi viwakilishe Taifa Stars kimataifa walau tutafika malengo flani.

We unalionaje hilo?

Address

Tabora

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Micky Trending posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share