Usagara Media

Usagara Media It's all about Usagara

16/05/2023

MARUMO GALLANTS HAWAJAWAHI KUFUNGWA WALA KUTOA SARE NYUMBANI KWAO

Ripoti kutoka SA | Kuanzia hatua ya awali ya Mashindano (CAFCC) Marumo hawajapoteza wala kutoa sare katika mechi waliocheza uwanja wa nyumbani msimu huu 2022/23

Marumo Gallants 1-0 Elgeco Plus

Marumo Gallants 3-1 Al Ahli Tripoli

Marumo Gallants 4-1 Al Akhdar

Marumo Gallants 2-0 USM Alger

Marumo Gallants 3-2 FC Lupopo

Marumo Gallants 1-0 Pyramids

Je , Wananchi watatoboa Kweli ?

Follow ukurasa wetu wa YOUTUBE 👇👇
https://youtube.com/

17/12/2022
Mwanafunzi wa shule ya sekondari Usagara aelezeab jinsi alivyojua kuwa anakipaji Cha kuchora
07/12/2022

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Usagara aelezeab jinsi alivyojua kuwa anakipaji Cha kuchora






Hii ni historia fupi kuhusu Mchoraji wa picha katika kipaji chake hicho

Wanafunzi wa shule ya sekondari Usagara watengeneza kengele ya UMEME
06/11/2022

Wanafunzi wa shule ya sekondari Usagara watengeneza kengele ya UMEME

wanafunzi wa shule ya sekondari Usagara watengeneza kengele ya UMEME ambayo itakayotimika ndani ya shule

05/11/2022

Address

Usagara
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Usagara Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Usagara Media:

Share