Tkfm88.5

Tkfm88.5 TANGA KUNANI FM RADIO broadcasting at 88.5 from Tanga city was officially launched in July 2014.

Apart from general broadcasting; we specifically cater for advertising, educational and information
needs of population of where we are available

CHAPISHA MAONI YAKO NA YATASOMWA KWENYE KIPINDI CHA NIJUZE JUMATANO SAA 3 KAMILI ASUBUHI.HOST:  &  PRODUCER :
10/08/2025

CHAPISHA MAONI YAKO NA YATASOMWA KWENYE KIPINDI CHA NIJUZE JUMATANO SAA 3 KAMILI ASUBUHI.

HOST: &

PRODUCER :

04/08/2025
Mwanafa aongoza kura za moani MuhezaAliyekuwa mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo H...
04/08/2025

Mwanafa aongoza kura za moani Muheza

Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma almaarufu (MwanaFA ) ameongoza kwenye kura za maoni kwa kupata kura
9,030.

Akitangaza matokeo hayo ya kura za maoni leo Jumatatu Agosti 4,2025 mratibu wa Uchaguzi Jimbo la Muheza Mwantumu Mahiza amesema katika zoezi hilo jumla ya kura zote ni 10,320 ambapo kati ya hizo kura 60 zimeharibika.

Amesema wagombea wote kwenye kinyang'anyilo walikuwa ni sita na kura zao kwenye mabano Hamis Sadiki (173),James Edward (203),Hamis Ayubu(339),Togwe Msekelwa(122) na Halima Juma(65).

Mgombea huyo ametetea nafasi yake kwa kupata kura 9,030 kati ya 10,320 zilizopigwa,huku kura 60 zikiharibika.

✍ Rajabu Athumani

Cc

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga  Jumaa Aweso ameongoza kwenye kura za maoni kwa kupata asilimia mia mo...
04/08/2025

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Jumaa Aweso ameongoza kwenye kura za maoni kwa kupata asilimia mia moja ya kura zote zilizopigwa katika kata 14 za jimbo la Pangani 3,806.

Akizungumzia kuhusu matokeo hayo leo Jumatatu Agosti 4,2025 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM) wilaya ya Pangani Abdul Swala amesema kuwa katika kata zote za eneo hipo Aweso ameongoza kwa kura,huku wagombea wenzake wakipata kura sifuri hivyo kuibuka mshindi.

Amesema kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wote ni 3,843 ambao walitakiwa kupiga kura, lakini 37 hawajafika kwenye vituo vya kupigia kura na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kuwa 3,806 ambapohakuna kura ambayo imeharibika katika uchaguzi huo.

Hivyo kutokakana na matokeo hayo amemtangaza Aweso kuwa mshindi kwa kuongoza kwenye kura zote zilizopigwa,huku wagombea wenzake Ramadhani Zuberi na Mariam Abdallah wakiambulia patupu.

Kwa upande Aweso kupitia ukurasa wake wa Instagram amewashukuru wajumbe kwa kumuamini na kumchagua tena na kusema kwamba kwa imani waliompa kwa matendo.

"Asanteni sana wajumbe wa CCM jimbo la Pangani kwa kura zote za ndio.Imani hii mlionipa nitailipa kwa Matendo,"amesema Aweso.

✍️ Rajabu Athumani

Cc Shabani Kanuti

Usiku wa leo
22/07/2025

Usiku wa leo

  Kocha Raia wa Kenya Fransis Baraza aliewai kuvinoa vilabu vya Biashara United,Tz Prison anatarajiwa kutangazwa kuwa  k...
15/07/2025

Kocha Raia wa Kenya Fransis Baraza aliewai kuvinoa vilabu vya Biashara United,Tz Prison anatarajiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Pamba Jiji

Makubaliano yote ya Usainiwaji wa mikataba yamekamilika.

✍️

Cc

Address

Tanga
2294

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tkfm88.5 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tkfm88.5:

Share

Category