
19/09/2022
Faida za mchaichai kiafya
Mchaichai unaweza kutibu magonjwa k**a
- Maumivu ya tumbo.
- Huimarisha afya ya ngozi.
- Husaidia kuepusha Maambukizi katika njia ya mkojo (U.T.I)
- Husaidia kusafisha figo na ini.
- Hukabiliana na matatizo ya moyo.
- Huimarisha utendaji kazi wa mishipa ya fahamu na kudhibiti mlundikano wa mafuta katika mishipa ya damu (lehemu).
- Huondoa sumu mwilini na huongeza kinga za mwili (CD4).
- Husaidia tatizo la kukosa usingizi.
-. Hutibu maumivu ya tumbo hasa yasababishwayo na hedhi.
- Hutoa gesi tumboni, na husaidia kukabili mafua ya mara kwa mara, hali ya kutapika na maumivu ya viungo.
Karibu ujipatie jumla na rejareja. Mchaichai fresh from Shamba.
Mawasiliano
0656503064/0672306864