Taa ya Elimu

Taa ya Elimu 🕌 MAWAIDHA | 🤲 DUA | 🎥 VIDEO FUPI
"Neno moja linaweza kubadili maisha yako." Tu follow kwa video fupi za Kiislamu ambazo zitakuletea faida kubwa sana.

Bonyeza link hapo chini ili kufuata mitandao yetu mingine. 👇👇👇
https://linktr.ee/Taayaelimu

04/07/2025

SUBHANALLAAH 🥲MPAKA JINA LAKO MAUTI YATAKUPOKONYA



04/03/2025

HUWEZI KUWA NA AKILI INAYOTUMIKA VIZURI USIPOFUATA MUONGOZO HUU (QURAN)

Qur’an ndio muongozo sahihi wa maisha, na katika mwezi wa Ramadhan, tunapaswa kuipa kipaumbele zaidi kwa kuisoma, kuitafakari, na kuifanyia kazi. Akili ya mwanadamu haiwezi kufanya maamuzi sahihi bila mwongozo wa Qur’an, na mtu asiyeifuata Qur’an yuko hatarini kupotea.

Ramadhan ni fursa ya kurekebisha akili na maisha kwa kurejea kwenye Qur’an, kuitumia k**a mwanga wa maisha yetu, na kuhakikisha kuwa tunafuata uongofu wake. Huu ndio mwezi wa kuisoma kwa wingi, kuisikiliza, na kuiishi, ili akili zetu ziwe na mwanga wa elimu sahihi na hekima.

Mwenyezi Mungu atufanye miongoni mwa wale wanaoshik**ana na Qur’an katika Ramadhan na baada yake, Ameen.

TAA YA ELIMU tunawatakia Waislamu wote ulimwenguni Ramadhan Kareem. Tunamuomba Allah atutakabalie funga zetu, atutazame ...
01/03/2025

TAA YA ELIMU tunawatakia Waislamu wote ulimwenguni Ramadhan Kareem. Tunamuomba Allah atutakabalie funga zetu, atutazame kwa rehema Zake, na atuwezeshe kufanikisha malengo ya Ramadhan kwa ibada, taqwa, na kheri.

09/02/2025

MSIBA WA MAMA YAKE SHEIKH SHAMS ELMI NASAHA ZA SHEIKH KOMBO ALI FUNDI

05/10/2024

Kisa cha mama alietelekezwa na watoto wake

Taa ya Elimu

sheikh muhamad bahero

22/09/2024
01/07/2024

Mazara ya kuto kufuata malezi ya mtume Muhammad "ď·ş

01/07/2024

Kila mzazi na anateseka kwa ajili ya mtoto wake

01/07/2024

Wazazi wanajinyima ili kwa ajili ya watoto wao

06/05/2024

Hakuna mtu anaeweza kuziba wala kupunguza rizki zako.
SHEIKH HASSAN AHMED

06/05/2024

KISA CHA MFANYABIASHARA ALIETUPWA NA WENZAKE BAHARINI

SHEIKH HASSAN AHMED

06/05/2024

Sheikh Hassan Ahmed.
KISA CHA BABU NA MJUKUU WAKE

Address

Tanga

Telephone

+255692733480

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taa ya Elimu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Taa ya Elimu:

Share

Category