Kuza Biashara

Kuza Biashara Thanks! Let's learn more about how to use Facebook, WhatsApp and Instagram to help grow your business

๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช๐—˜๐—ฅ๐—ฆ | ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž | ๐—ช๐—›๐—”๐—ง๐—ฆ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ | ๐—ฌ๐—ข๐—จ๐—ง๐—จ๐—•๐—˜ | ๐—ง๐—ช๐—œ๐—ง๐—ง๐—˜๐—ฅ | ๐—ง๐—œ๐—ž๐—ง๐—ข๐—žOngeza thamani ya...
13/08/2023

๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช๐—˜๐—ฅ๐—ฆ | ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž | ๐—ช๐—›๐—”๐—ง๐—ฆ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ | ๐—ฌ๐—ข๐—จ๐—ง๐—จ๐—•๐—˜ | ๐—ง๐—ช๐—œ๐—ง๐—ง๐—˜๐—ฅ | ๐—ง๐—œ๐—ž๐—ง๐—ข๐—ž
Ongeza thamani ya biashara yako kwa kukuza account yako mtandaono

๐—ก๐—”๐—๐—”๐—ญ๐—” ๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—ช๐—›๐—”๐—ง๐—ฆ๐—”๐—ฃ๐—ฃ
Najaza watu kwenye Groups WhatsApp za biashara au Michezo ya fedha

๐—๐—œ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ง๐—˜๐—๐—” ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž ๐—”๐—จ ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜๐— ๐—•๐—˜๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ช๐—˜ ๐—ฆ๐—ฃ๐—ข๐—ก๐—ฆ๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—— ๐—”๐——๐—ฆ

Je, nani Mjasiriamali na anapitia changamoto ya kunasa wateja wengi Mtandaoni ๐—™๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ผ๐—ธ au ๐—œ๐—ป๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ?
_
Natoa huduma ya settings kwenye account yako ili uwe na uwezo wa kufanya Matangazo ya kulipia
_
Nitakuelimisha jinsi ya kulipia Matangazo kupitia account yako na simu yako ili unufaike kupata wateja wengi
_
Utawafikia wateja ndani ya location yako ukitaka uwafikie watu wa eneo lako pia unaweza kuamua watu wote wenye smartpho ambao niko nao ndani ya kilomita 2au4

Au ukaamua tangazo lako lite bee mkoa unaotaka Mkoa wako au Tanzania yote au nje ya nchi kwa idadi unayohitaji mwenyewe
Na umri unaotaka sifa ya wateja unaotaka waalimu, watu wanaopenda starehe nk
_
Hakuna kitu kisichouzika kwenye Matangazo ya ๐—ฆ๐—ฝ๐—ผ๐—ป๐˜€๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฑ ๐—”๐—ฑ๐˜€ wanaofanya aina hii ya Matangazo wanaelewa.

? ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—”๐—จ ๐—™ace๐—•oo๐—ž ๐—จ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—”?
Umefanya Tangazo lako limesimama na hujui kwa sababu gani๐Ÿ‘‡
_
โ—‹ Disabled
โ—‹ No Permission
โ—‹ You can't run ads
โ—‹ Ad account not found
โ—‹ Unadaiwa kwenye account
โ—‹ Ad account based in Russia
โ—‹ Something went wrong
โ—‹ Boost not unavailable
โ—‹ WhatsApp iliyofungwa
_
๐—ก๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐——๐—˜๐—ก๐—œ ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œNSTA๐—šRA๐—  ๐—”๐—จ ๐—™ace๐—•oo๐—ž
Nafuta madeni mitandao yote ya kijamii na utakuwa na uwezo wa kutangaza bila kudaiwa tena
_
Kupata Muongozo tuma ujumbe WhatsApp โ€˜๐—ก๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ž๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ผโ€™ au ๐—ž๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ฐ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜ au nipigie kwa ufafanuzi zaidi.
_
๐—ก๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น ๐— ๐—ฒ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ
Instagram | fesibook

โ˜Ž๏ธ +255767833574

===TANGAZO LA KAZI===Tengeneza hadi 700,000/= kupitia simu janja Smartpho(Fungua picha zote) Kampuni ya Airtel Tanzania ...
09/08/2023

===TANGAZO LA KAZI===

Tengeneza hadi 700,000/= kupitia simu janja Smartpho

(Fungua picha zote)

Kampuni ya Airtel Tanzania Plc mkoa wa Tanga Inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wote wenye umri kati ya miaka 18- 35

VIGEZO
~Uwe raia wa Tanzania mwenye utambulisho wa Nida
(lazima)

~Uwe unajua kusoma na kuandika (Lazima)

~Uwe unajua kutumia smartphone (lazima)

~Barua ya utambulisho Serikali ya mtaa (Lazima)

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0687033659

TUNAPATIKANA TANGA MJINI

Au bonyeza bonyeza alama ya WHATSAPP chini ya picha kupata maelekezo

Kuza Mauzo Ya Biashara Yako Pamoja Na Brand YakoNajua utakubaliana na mimi kwambaโ€ฆHakuna mauzo yoyote ambayo unaweza kuy...
05/08/2023

Kuza Mauzo Ya Biashara Yako Pamoja Na Brand Yako
Najua utakubaliana na mimi kwambaโ€ฆ

Hakuna mauzo yoyote ambayo unaweza kuyafanya kwenye biashara yako endapoโ€ฆ

Haujafanikiwa kuweza kujulikana ipasavyo na walengwa wako sokoni.

Ni lazima ujulikane kwanza na uwe na mvuto ndipo mlolongo wa mauzo uweze kuendelea.

Lakini haya yote hayawezi kufanikiwa endapo haujui vifuatavyo;

1.Haujui jinsi ya kuitangaza biashara yako

2.Haujui jinsi ya kuiweka biashara yako vizuri kwenye akili ya wateja wako

3.Haujui jinsi ya kuongea na wateja vizuri na kuwafanya kukupa hela zao bila wasiwasi wowote na kukuletea marafiki zao pia.

n.k

Kwa kuanzia tuu endapo hivi vyote 3 haijui jinsi ya kuvifanyia kazi ni ngumu sana kupata wateja 5 kwa wiki.

Lakini ngoja nikupe habari njema.

Hivi vyote unaweza fundishwa na kupewa masomo yake ambayo baada ya siku 3 tuu unaweza anza kuona mabadiliko kwenye biashara yako.

Haijalishi unauza bidhaa ya bei kubwa kiasi gani lakini utaona maajabu yake.

Nakwambia hivi kwa sababu mafunzo ya sehemu hizi 3 nimeshatumia kuuza program zangu za milioni 1 bila shida yoyote.

Nimeshatumia kusaidia wafanyabiashara kuingiza mamilioni ya pesa kwenye biashara zao kuanzia wale waโ€ฆ

Biashara za mtandao ,biashara za kawaida,makampuni na hata biashara zingine tofauti na hizi.

Nikwambie tuuโ€ฆ!

Hata kwako inawezekana kuanzia leo.

Ndio maana nataka nikupe ofa k**a kweli unataka mafunzo haya leo.

Sitakupa mafunzo yangu ya milioni 1 au hata 300,000/=

Nitakachokifanya kwako ni kukupa nafasi ya kupata masomo yatakayokujenga kwenye sehemu hizi 3 kwa 150,000/= tuu

Utapataje ofa hii?

NJOO INBOX
Jaza form nina nafasi 5 tuuโ€ฆ!

Namba Ya Simu
+255767833574
Unafanya Biashara Gani?
Upo Tayari Kupata Ofa Ya Mafunzo Haya?

Ndio
au
Bado

Una Swali lolote kuhusu matangazo adsense uliza nitakusaidia

๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช๐—˜๐—ฅ๐—ฆ | ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž | ๐—ช๐—›๐—”๐—ง๐—ฆ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ | ๐—ฌ๐—ข๐—จ๐—ง๐—จ๐—•๐—˜ Ongeza thamani ya biashara yako kwa...
03/08/2023

๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช๐—˜๐—ฅ๐—ฆ | ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž | ๐—ช๐—›๐—”๐—ง๐—ฆ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ | ๐—ฌ๐—ข๐—จ๐—ง๐—จ๐—•๐—˜
Ongeza thamani ya biashara yako kwa kukuza account yako mtandaoni nakuza kuanzia followers 1000 hadi 1000000 kwa bei nafuu kulingana na mahitaji yako

๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—ข๐—จ๐—ง๐—จ๐—•๐—˜
Kwa wale wanaohitaji kukidhi vigezo vya kuanza kulipwa na YouTube Monitazion ukiwa na Subscribers na nitakufundisha jinsi ya kupata Subscribers YouTobe

๐—ก๐—”๐—๐—”๐—ญ๐—” ๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—ช๐—›๐—”๐—ง๐—ฆ๐—”๐—ฃ๐—ฃ
Najaza watu kwenye Groups WhatsApp za biashara au Michezo ya fedha

๐—๐—œ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ง๐—˜๐—๐—” ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ ๐—™ace๐—•oo๐—ž ๐—”๐—จ ๐—œN๐—ฆT๐—”G๐—ฅA๐—  ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜๐— ๐—•๐—˜๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ช๐—˜ ๐—ฆ๐—ฃ๐—ข๐—ก๐—ฆ๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—— ๐—”๐——๐—ฆ
Wewe ni Mjasiriamali na unapitia changamoto ya kunasa wateja wengi Mtandaoni ๐—™๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ผ๐—ธ au ๐—œ๐—ป๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ?
_
Natoa huduma ya settings kwenye account yako account ya Biashara ili uwe na uwezo wa kufanya Matangazo ya kulipia
_
Nitakuelimisha jinsi ya kulipia Matangazo kupitia account yako na simu yako ili unufaike kupata wateja wengi
_
Utawafikia wateja ndani ya Mkoa wako au Tanzania yote au nje ya nchi kwa idadi unayohitaji mwenyewe
_
Hakuna kitu kisichouzika kwenye Matangazo ya ๐—ฆ๐—ฝ๐—ผ๐—ป๐˜€๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฑ ๐—”๐—ฑ๐˜€ wanaofanya aina hii ya Matangazo wanaelewa mafanikio ni makubwa utapokea wateja k**a utitiri

๐—จ๐—ก๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—”๐—จ ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž ๐—จ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—”?
Umefanya Tangazo lako limesimama na hujui kwa sababu gani

Nataua tatizo hilo๐Ÿ‘‡
_
โ—‹ Disabled
โ—‹ No Permission
โ—‹ You can't run ads
โ—‹ Ad account not found
โ—‹ Unadaiwa kwenye account
โ—‹ Ad account based in Russia
โ—‹ Something went wrong
โ—‹ Boost not unavailable
โ—‹ WhatsApp iliyofungwa
_
๐—ก๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐——๐—˜๐—ก๐—œ ๐—”๐—–๐—–๐—ข๐—จ๐—ก๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—ง๐—”๐—š๐—ฅ๐—”๐—  ๐—”๐—จ ๐—™๐—˜๐—ฆ๐—œ๐—•๐—ข๐—ข๐—ž
Nafuta madeni mitandao yote ya kijamii na utakuwa na uwezo wa kutangaza bila kudaiwa tena
_
Kupata Muongozo tuma ujumbe WhatsApp โ€˜๐—ก๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ž๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ผโ€™ au ๐—ž๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ฐ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜ au nipigie kwa ufafanuzi zaidi.
_
๐—ก๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น ๐— ๐—ฒ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ
Instagram | fesibook
Damian Karengi
โ˜Ž๏ธ +255767833574
๐Ÿ“Tanga๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

AGE 19----33K**A WEWE NI MFANYA BIASHARA NA UNAHITAJI KUWA MFANYA BIASHARA MTARAJIWA~~~Achilia mbali tunawafundisha jins...
24/07/2023

AGE 19----33

K**A WEWE NI MFANYA BIASHARA NA UNAHITAJI KUWA MFANYA BIASHARA MTARAJIWA

~~~Achilia mbali tunawafundisha jinsi ya kumiliki biashara hata k**a huna pesa
Fanya tafiti mwenye tafuta bidhaa ambayo ni adimu au ni Mpya Dukani Bei yake ya Kuuza iwe 400,000/= au zaidi ikianzia hata k**a itaanzia bei 100,000/=

Lakini angalia vigezo Kuwa ni adimu au ni mpya Sokoni

Kisha nenda kwa muuzaji ongeanaye.....

Mwambie wewe una bidhaa nzuri na ni adimu watu wengi hawajui hii bidhaa au hii huduma muulize wewe unaonaje.....?

Kisha Lenga kwenye point mimi nina wateja na wewe biashara unaonaje mimi mimi nikawa mteja wako?

Kisha muulize kila Bidhaa utalipa commission ya shingap?

Ok
Mfano kwenye 100,000/= akikikupa 20,000/=

Tengeneza tangazo la video ya hiyo biasha
Sasa wewe ingia Sokoni lazima uwe na internet connection

kauze hiyo bidhaa 150,000/=

Kwakuwa wewe una tumia mteja wako hapo una commission 20,000/= Plus Faida 50,000/=

WEWE UNAKUWA MTU KATI
Fanya utafiti ni bidhaa au huduma gani amboyo ni adimu kupatikana au yenye hadhi fulani au ni ya kitaalamu, ya hali ya juu n. k

TANGAZA HIYO BISHAA Facebook ads

K**a hujui jinsi ya kutumia matangazo ya Facebook tupigie wasiliana na msaidizi wetu

Caa 0767833574

Nawasaidia wajasiriamali na wafanya biashra jinsi ya kutumia intanet kunasa wateja kutumia matangazo ya kulipia Facebook

30---45

K**A UNA MILIKI BIASHARA NA UNAHITAJI UTITIRI WA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO

# TUNATUMIA YA SUMAKU

UkItAkA KuJuA ZaIdI inafanyaje kazi hiyo hii SUMAKU ya mtandao?

Matokeo ni miezi 2
but tunafanya kazi na watu wachache wahi kabla group halijaa.... ๐Ÿ‘‡

Nakualika kwenye jukwaa letu//group wenye biashara tu!...

# MJASIRIAMALI KIDIJITALI
https://chat.whatsapp.com/GU4oSPpJ9jY4fOrpE78HCn

NOT:

BIASHARA SIYO KUPATA PESA, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

KUTATUA CHANGAMOTO YA WATU KATIKA JAMII NI CHANZO CHA KUUZA KUUZA MAUZO MENGI K**A ~kumsukuma mlevi~

Nina Darasa la buree

Nawasaidia wajasiriamali na wafanya biashra jinsi ya kunasa wateja (Tutakufundisha)......

Jinsi ya kutumia Facebook, Instagram kupata wateja wengi katika Biashara yako au katika eneo lako au Tanzania nzima k**a biasha yako ni pana........

PIA MIMI NI MTAALAMU WA KUTENGENEZA WEBSITE NA APP YA BIASHARA

Faida ya kuwa na tovuti au APP.... Unatengeza wateja wa kudumu na wapya biashara yako ijiendendelezee yenyewe wewe kazi yako ni kusimamia kwa sababu itakulazimu huwezi kufanya kazi mwenyewe na ujigawe...

Siwezi kuyamaliza......

SEO
KUZA
KUZA BIASHARA SKOOL

https://chat.whatsapp.com/JKxNCRiMxGT3toClfetlxQ

Matangazo kwenye Facebook yanaweza kuwa njia muhimu ya kufikia idadi kubwa ya watu na kuendeleza bidhaa au huduma zako. ...
19/07/2023

Matangazo kwenye Facebook yanaweza kuwa njia muhimu ya kufikia idadi kubwa ya watu na kuendeleza bidhaa au huduma zako. Hapa kuna mikakati kadhaa ya kuzingatia wakati wa kutangaza kwenye Facebook:

1. Weka malengo yako: Kabla ya kuanza kutangaza, eleza wazi malengo yako. Je, unataka kuongeza uelewa wa chapa, kuongeza trafiki kwenye tovuti yako, kuzalisha nafasi za biashara au kuongeza mauzo? Kujua malengo yako kutakusaidia kuunda kampeni zilizolengwa na zenye ufanisi.

2. Tambua hadhira yako lengwa: Facebook hutoa chaguzi nyingi za kulenga hadhira. Tambua sifa za demografia, maslahi, na tabia za wateja wako wa ndoto. Hii itahakikisha kuwa tangazo lako linawaonyesha watu ambao wanaweza kuwa na nia zaidi na kile unachotoa.

3. Unda maudhui yanayovutia: Tengeneza matangazo yaliyo na mvuto ambayo yatavuta macho ya watumiaji. Tumia picha zinazovutia, vichwa vya habari vinavyovutia, na maelezo mafupi ya matangazo. Jikite katika pendekezo la thamani la kipekee la bidhaa au huduma yako ili kuhamasisha watu kubonyeza na kuhamia hatua ya kununua.

4. Tumia Meneja wa Matangazo ya Facebook: Jijulishe na jukwaa la Meneja wa Matangazo la Facebook. Inakuwezesha kuunda, kusimamia, na kufuatilia matangazo yako. Tumia jukwaa hilo kuweka malengo ya kampeni, kuweka bajeti, kufuatilia utendaji, na kufanya marekebisho yanayotokana na takwimu.

5. Tumia hadhira iliyogeuzwa na kufanana na hadhira: Facebook inaruhusu kuunda hadhira iliyogeuzwa kulingana na data ya wateja uliyo nayo, k**a vile anwani za barua pepe au wageni kwenye tovuti. Unaweza pia kuunda hadhira inayofanana na wateja wako wa sasa. Hii inaweza kukusaidia kuwafikia watu wanaofanana na wateja wako wa sasa.

6. Jaribio la A/B: Jipime na toa majaribio tofauti ili kugundua kinachofanya kazi vizuri kwa hadhira yako. Jaribu mabadiliko tofauti ya picha, maelezo, wito kwa hatua, na kurasa za kutua ili kubaini mchanganyiko gani unatoa matokeo bora zaidi. Kupima A/B kutakuruhusu kuboresha utendaji wa matangazo yako mara kwa mara.

7. Kurudia kulenga: Tekeleza mkakati wa kurudia kulenga ili kuwafikia watumiaji ambao tayari wameonyesha nia kwa bidhaa yako. Sanidi Facebook Pixel kwenye tovuti yako ili kufuatilia tabia za watumiaji na kuonyesha matangazo yaliyobinafsishwa kwa wale walioitembelea tovuti yako au kuchukua hatua fulani.

8. Fuatilia na marekebisha: Angalia mara kwa mara utendaji wa matangazo yako na fanya marekebisho yaliyoongozwa na takwimu. Tathmini metriki k**a viwango vya bonyeza, viwango vya ubadilishaji, na kurudi kwa matangazo. Tambua matangazo yanayofanya vibaya na ufanye marekebisho muhimu ili kuboresha ufanisi wao.

Kumbuka kuzingatia sera za matangazo za Facebook na kufuatilia mabadiliko na sasisho ili uweze kutumia jitihada zako za matangazo kwenye jukwaa hilo. Kila la heri na kampeni zako za matangazo kwenye Facebook!

MJASIRIAMALI GROUP
https://chat.whatsapp.com/GU4oSPpJ9jY4fOrpE78HCn

Ujumbe muhimu kwa wanaotaka kumiliki biashara mtandaoni. Je wewe ni kijana unayetaka kumiliki biashara mtandaoni yenye k...
18/07/2023

Ujumbe muhimu kwa wanaotaka kumiliki biashara mtandaoni.

Je wewe ni kijana unayetaka kumiliki biashara mtandaoni yenye kukuingiza kipato kizuri mno kila siku?

K**a jibu ni ndio ningependa kuongea na wewe.

Kwa jina naitwa Damian Karengi

Ninawasaidia vijana k**a wewe kumiliki biashara ya kitaalamu mtandaoni yenye kuwaingizia kipato kizuri kila siku

Nataka kuandaa darasa la bure kwa ajili yako la namna ya kumiliki na kujenga biashara ya kitaalamu mtandaoni.

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba ucomment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini au nitumie ujumbe wa watsapp kwenda namba 0767833574

Ikisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa bure kabisa kupitia group la watsapp.

MJASIRIAMALI GROUP
https://chat.whatsapp.com/GU4oSPpJ9jY4fOrpE78HCn

Comment namba yako hapa chini mara moja kabla ya group letu kujaa.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,
Damian Karengi ,
Mkurugenzi, Kuza Biashara Skool

"Chagua wateja k**a vile unavyofanya kuchagua marafiriVijana wenzangu!Kwanza, Tubadilishe namna ya kusalimia, ukisalimia...
17/07/2023

"Chagua wateja k**a vile unavyofanya kuchagua marafiri
Vijana wenzangu!

Kwanza, Tubadilishe namna ya kusalimia, ukisalimia tamka maneno ya sikike na kwa ufasahamu uwe na unahakika na kile unachokisema hata unayemsalimia atasikia kueshimiwa, salamu zetu zimekuwa za kutia aibu sana.....k**a umelazimishwa vile.......Hii itakusaidia kukusema wewe umekuwa na unajua unachokitaka pia inakupa Professional presentation mbele ya watu wanaokuzunguka -

Pili, unaposalimia tafadhali mwangilie unayemsalimia machoni bila hofu na hii itatoa imani kubwa sana kwa upande wa pili -

Tatu, unaposhake hand please shake hand k**a umekula kaza mkono mwangalie usoni unayepeana nae mkono.......watu wengi hapa wanashake hand wameinama na wanavyoshake hand utafkr mkono unachangamoto umelegea mnoo.......ukishaje hand vizuri.....it communicate you're energized, trust and serious sasa wewe fanya kinyume will communication you're not serious and not professional as well. -

Nne, Demonstrate confidence and gestures saikolojia inasema watu walio wengi wakiongea bila kutumia gestures au movement ya mikono au kichwa mara nyingi husema uongo......ukitumia gestures it shows courage, believe, informed about something and trustworthy.


Jifunze zaidi namna
Follow me ๐Ÿ‘‰ Karengi

15/07/2023

JINSI YA KUNASA WATEJA KUPITIA MTANDAO WA INTERNET

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuza Biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share