WILY NEWS TZ

WILY NEWS TZ all about news you gate here

27/03/2020
17/06/2019


Dunia k**a itaacha kuzunguka kwa sekunde 1 wote tutakufa. Inaelezwa ni sawa na upo ndani ya chombo ambacho kipo katika spidi' 1,000 Maili kwa saa (MPH) alafu kwa haraka kisimame'

27/02/2019

Ulionesha msaada mkubwa katika tasnia ya habari na burudani
Ulifanya mapinduzi makubwa katika media, vijana na watanzania kwa ujumla . Michael mtanzania inakutakia pumziko la amani milele daima.
😢😢😢😢😢😢😢😢😢

Hakuwa na viatuNjia ya calvar Msalaba mzito Ulimuangusha aaaaaaaaVumilia mateso Asubihi yajaBeba msalaba unifuate       ...
06/05/2018

Hakuwa na viatu
Njia ya calvar
Msalaba mzito
Ulimuangusha aaaaaaaa
Vumilia mateso
Asubihi yaja
Beba msalaba unifuate
Ukombozi kwaya japani

Askari waliochelewa kumtoa John Mnyika(MB) nje ya Bunge wamepangiwa vituo vingine vya kazi kwa kuchelewa kutekeleza agiz...
05/06/2017

Askari waliochelewa kumtoa John Mnyika(MB) nje ya Bunge wamepangiwa vituo vingine vya kazi kwa kuchelewa kutekeleza agizo la Spika.

- Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema aliwashangaa askari hao kwa jinsi walivyokuwa wanambeleza mbunge huyo wa Kibamba kutoka nje.

Zaidi, soma => http://bit.ly/2rK9g0E

Arsenal sasa wanaziombea mabaya Liverpool dhidi ya Middlesbrough huku wao wakipambana kuifunga Everton ili kuingia Top 4...
17/05/2017

Arsenal sasa wanaziombea mabaya Liverpool dhidi ya Middlesbrough huku wao wakipambana kuifunga Everton ili kuingia Top 4. Itawezekana?

Inter wapiga hodi Real Madrid kumsajili PepeMchezaji huyo mkongwe raia wa ureno amekuwa akihusishwa kuhamia kwenye dimba...
14/05/2017

Inter wapiga hodi Real Madrid kumsajili Pepe

Mchezaji huyo mkongwe raia wa ureno amekuwa akihusishwa kuhamia kwenye dimba la San Sirro hivi karibuni kutokana na mkataba wake kuisha mwishoni mwa msimu huu.

MAJERUHI AJALI YA BASI KARATU WASAFIRISHWA: Wanafunzi watatu wa darasa la saba wa Shule ya Lucky Vincent ya jijini Arush...
14/05/2017

MAJERUHI AJALI YA BASI KARATU WASAFIRISHWA: Wanafunzi watatu wa darasa la saba wa Shule ya Lucky Vincent ya jijini Arusha ambao ni majeruhi wa ajali ya iliyotokea wilayani Karatu wamesafirishwa leo na ndege maalum ya Shirika la Samaritan's Purse aina ya DC 8 kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Inasemekana kuna wakati watu wengi huwakumbuka wapenzi wao wa zamani.Mara nyingi hii hutokana na wapenzi hao kuacha mape...
14/05/2017

Inasemekana kuna wakati watu wengi huwakumbuka wapenzi wao wa zamani.

Mara nyingi hii hutokana na wapenzi hao kuacha mapengo yasiyozibika hasa kwa huduma au misaada waliyotoa kipindi wako pamoja ambavyo kwa wakati huo havipatikani tena.

Je, nini kiliwahi kuchochea kumkumbuka mpenzi wako wa zamani?

Address

Tanga

Telephone

0718973242

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WILY NEWS TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share