Barick Sanga

Barick Sanga mia jina la biashara yako, chapa au shirika, au jina linalofafanua maudhui ya Ukura

Kijana k**a nyeupe anasema nyeupe na nyeusi ni nyeusi kwangu huyu ni miongoni mwa wachambuzi Bora sana.Huna baya Hans
20/03/2025

Kijana k**a nyeupe anasema nyeupe na nyeusi ni nyeusi kwangu huyu ni miongoni mwa wachambuzi Bora sana.
Huna baya Hans

Enjoy mwanangu mi nipo kwaajili yako
20/03/2025

Enjoy mwanangu mi nipo kwaajili yako

Hapo watu walishatabiri kabisaa kuwa kunasiku timu zitasema hatujii🤣🤣🤣🤣🤣Hatuji kwenye mechi zetu..!!! Tuwe wakweli hata ...
09/03/2025

Hapo watu walishatabiri kabisaa kuwa kunasiku timu zitasema hatujii🤣🤣🤣🤣🤣
Hatuji kwenye mechi zetu..!!! Tuwe wakweli hata nyie wananchi mngekuwa mandunduka mngefuata Nini tena,🏃🌜
Bora lawama kuliko fedheha.🔥😀

With Brain Mpogole – I just got recognized as one of their top fans!Tukutane tar 8🤣
01/03/2025

With Brain Mpogole – I just got recognized as one of their top fans!
Tukutane tar 8🤣

Acheni kumsingizia kijana kwani k**a ni nzuri si mjibu kwa kununua? Kwahiyo mnatudhibitishia kuwa nikweli ni lonya🤣🤣🤣🤣🤣 ...
30/11/2024

Acheni kumsingizia kijana kwani k**a ni nzuri si mjibu kwa kununua?
Kwahiyo mnatudhibitishia kuwa nikweli ni lonya🤣🤣🤣🤣🤣
Utani bhana💉🤸

21/10/2024

Ukweli huoooooo👇🤣🤣🤣

19/10/2024

Hii ni kwa makolo wote 🤣🤣

Et huyo ndio yuleeeee🤣🤣🤣 kashonwa mdomo..!!!Nadhani sasa atakuwa na heshima.!!
19/10/2024

Et huyo ndio yuleeeee🤣🤣🤣 kashonwa mdomo..!!!
Nadhani sasa atakuwa na heshima.!!

Hii inaitwa msako mkali mnatoa.!! Au hamtoi🤣Mmetoaa ..!!!
19/10/2024

Hii inaitwa msako mkali mnatoa.!! Au hamtoi🤣
Mmetoaa ..!!!

Kila la kheri wananchi..!!! Leo ndio ile siku tuliyoingojea 🤣🤣🤣💪🏃
19/10/2024

Kila la kheri wananchi..!!! Leo ndio ile siku tuliyoingojea 🤣🤣🤣💪🏃

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Barick Sanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Barick Sanga:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share