TCID

TCID Prosperity

Allays we have to pull up
01/10/2022

Allays we have to pull up

29/09/2022

Welcome to casca product for more skin care

06/06/2020

Habariii

26/05/2020

Hellow everyone

13/10/2018

Hi

06/05/2018

Habariiii everyone, at TCID page?

21/08/2017

Msanii Wastara Juma juzi amepata ajali wakati akielekea nyumbani kwake maeneo ya Tabata-Bima. Anasema hii ni ajali ya 9 na ameomba maombi ya watu kwa kuandika haya

" DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA......hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu coz Mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue nina watot 3 wananitegemea kwa kila kitu. sometimes mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabisa ila labda nimo kwa wale wanaopata ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah dua zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much"

Una lipi la kumwambia bibiye huyu?

27/05/2017

Ramadhani kareem

21/05/2017

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TCID posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category