23/11/2025
UTABILI WA NYOTA YAKO LEO JUMATATU
NOV 24/2025:
NIPO TANGA KOROGWE VIJIJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU MILIMA MA YAUSAMBARA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI SIMU NAMBA
+255680249697
+255680249697
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
✡️Ikiwa unavutiwa na utabiri huu basi jiunga nasi whatsapp kwa kubonyeza link ya group letu la whatsapp hapo chini
https://chat.whatsapp.com/Ln5DnmS977RHqM4Yx2KX3w?mode=wwt
UTABILI WA NYOTA LEO JUMATATU
★MASHUKE– VIRGO (Agosti 23– September 23)
Leo ni siku nzuri kwa kujaribu mambo ambayo siyo ya kawaida na kukutana na watu wapya Huenda wiki hii ukampata mpenzi wa kukuondolea upweke ambao umekuwa nao katika siku za hivi karibuni Akija mpokee kwa mikono miwili.
•Haja zako zitatimia bila shaka yoyote na utapongezwa kwa wema wako na juhudi zako.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Unakaribia sana kuupata msaada ambao unauhitaji ili kusukuma mbele mambo yako ambayo yanaonekana kuwama kwa kiasi kikubwa sana shughulikia suala hilo kwa uwazi na utafanikiwa ila hakikisha unawakumbuka wahusika wengine waliokusaidia.
•Biashara zako zitaenda vizuri na faida utaziona afya yako au mgonjwa wako atakuwa vizuri safari zako ni nzuri
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Sio Siri Wewe ni mtu mwenye moyo mzuri safi na mkarimu sana kwa jamaa na marafiki zako na wiki hii utanufaika sana kutokana na hali hiyo Kuwa mkweli kwa watu wote na utaona faida yake.
•Haja zako zitatimia baada ya kuisha kwa majira tuliyonayo mwaka ukikatika tu mipango yako itabadilika.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Wiki hii ni njema na utapokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye hamjaonana kwa muda mrefu sana na itakubidi uakhirishe baadhi ya shughuli zako ili ulishughulikie jambo hilo usione kwa huyo mtu anakusumbua ila tekeleza wajibu wako kwa sababu naye atakusaidia hapo baadae.
•Maadui zako watazidi kupitia mazito na mwisho wao mwaka huu utakuwa mbaya zaidi na huo ndio wakati sahihi wa wewe kuinuka upya na kuneemeka.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Hii ni wiki ambayo unatakiwa kuwa macho na makini sana kwa sababu kuna vikwazo vingi mbele yako Fanya mambo yako kwa kuzingatia athari zake ili kujiepusha na balaa ambalo linaweza kukukumba iwapo uatazembea ushauri huu.
•Tegemea kupata bahati nzuri au safari yenye kheri kwako.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Jumatatu yaleo ni siku nzuri sana kwako pamoja na hayo kuwa na tahadhari kuna mambo yako ya kibinafsi yanakusumbua na yameathiri vibaya matokeo ya kazi unayofanya muone mtaalamu akusaidie kuondokana na hali hiyo kabla hayajasababisha athari mbaya katika maisha yako.
•Utapata habari njema leo na mambo ya kukutuliza nafsi yatakusibu.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Leo ni siku njema sana kwako pamoja na kwamba unajiweza kifedha na hali yako ya kiuchumi siyo mbaya nyota zinaonyesha kuwa huna mipango mizuri ya kutumia fedha hizo na nyingi zinapotea katika mambo yasiyokuwa na manufaa kwako wala watu wako tafuta ushauri kwa watu walio karibu na wewe ili kubadilisha hali hiyo.
•Utapata msaada usiotarajia kazini/biashara Maadui wanapoteza nguvu Mahusiano hayana nuru tulia Safari zako ni nzuri.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Furaha ipo njiani inakuja kutokana na jambo ambalo umelijaribu kulifanya kwa siku nyingi sana bila ya kufanikiwa. Hata hivyo unashauriwa ujichunge ili furaha hiyo isikutumbukize katika majaribu ya kidunia ambayo ni mengi sana.
•Unaweza kupoteza pesa au simu Usijisumbue sana na mahusiano Safari zako ni nzuri ukisafiri peke yako.
★NG'OMBE– TA**US 🐂 (Aprili 21– May 20)
Huu ndio wakati wa kufanya mabadiliko ya maana katika maisha yako baada ya muda mrefu kuishi bila kujali ya leo kesho au kesho kutwa upo uwezekanao mkubwa wa hali yako ya kimaisha kubadilika ni bora tu uwe makini na utaona ajabu sana.
•Mahusiano yako leo yataingia mikwaruzo vumilia yanapita malumbano hayo.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Leo nyota yako inakushauri uwe k**a washirika wako wengine ili kudumisha furaha yako iliyopo kwa sasa na unatakiwa ufanye mageuzi yanayohitajika mahali unapofanyia kazi au biashara ujuzi wako na kipaji chako ulichonacho utakufaa sana.
•Ukikutana na mnyama wa miguu minne amefariki kwa namna yoyote kwako ni ishara mbaya zaidi na hivi karibuni utapoteza kitu cha muhimu mno au mtu.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Usiwe mvivu wa kutafuta mambo mapya unayoyahitaji ili kufanikisha maisha yako ni lazima ufahamu kuwa hakuna chochote kizuri kinachopatikana bila kutoka jasho au kujituma amka sasa ujishughulishe na utafanikiwa.
•Siku yako itakuwa ya furaha zaidi kwa upande wako na mtu wako wa karibu atazidi kukupa faraja zaidi kwa namna usiyoitarajia.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Siku ya leo Watu walio karibu na wewe watakuwa waaminifu na wachangamfu iwapo utawatendea haki inaonekana unahitaji msaada fulani kutoka kwao na hutaupata msaada huo iwapo hutabadilisha msimamo wako kwao.
•Mahusiano yako mapya yatastawi zaidi na yana kheri mbele
Safari zako ni nzuri mno.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim kupitia namba ya simu +255680249697 +255680249697 pia unaweza kutuma ujumbe mfupi wa sms kupitia namba hizo hizo unaweza pia kuwasiliana na maalim kupitia mtandao wa whatsaapp kupitia namba hizo niwatakie siku njema na mafanikio mema
Ikiwa unavutiwa na utabiri huu basi jiunga nasi whatsapp kwa kubonyeza link ya group letu la whatsapp hapo chini
https://chat.whatsapp.com/Ln5DnmS977RHqM4Yx2KX3w?mode=wwt
MAALIM NA MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU MIZIMU MAPEZI NA VIFUNGO