
14/08/2025
Edmund John amejiunga na Young Africans akitokea Singida Black Stars.
Edmund tayari yupo nchini Rwanda na Kikosi cha Yanga kwa ajili ya tamasha la RAYON SPORTS DAY itakayofanyika Agosti 15 katika uwanja wa Amahoro.
Unauonaje Usajili Huu?