Mara Online

Mara Online First digital platform that tell conservation and inspiring stories

Permanently closed.
20/01/2025

Gazeti lako pendwa
Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

20/01/2025

Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump (pichani), atarejea tena katika Ikulu ya White House kwa miaka minne ijayo, baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa 47 wa taifa hilo leo Jumatatu Januari 20, 2025.

29/01/2024
23/01/2024
07/11/2023

MKUU wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Kanali Michael Mntenjele amewataka watu kuacha vitendo vya kuvamia Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, akisema vinaweza kuufanya usiwe endelevu kwa manufaa ya jamii, lakini pia kuhatarisha maisha ya wavamizi wenyewe.
Kanali Mntenjele aliyasema hayo jana Jumatatu katika mkutano wa hadhara mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha Elimu ya Mafunzo ya Ufundi (VETA) Nyamongo kijijini Nyabichune, kilomita chache kutoka mgodi huo unaoendeshwa na Kampuni ya Barrick kwa ubia na Serikali ya Tanzania.

Address

Mara
Tarime
31000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mara Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mara Online:

Share