WCB Wasafii classic

WCB Wasafii classic welcome wasafi classic baby WCB

04/05/2026
Wanafunzi wa Sayansi wakiendelea na Masomo kwa Vitendo zaidi.
26/04/2026

Wanafunzi wa Sayansi wakiendelea na Masomo kwa Vitendo zaidi.

Opening School..... Awamu nyingine Mpya ya Masomo Imeanza... Karibu Temeke Islamic Secondary School
12/04/2026

Opening School..... Awamu nyingine Mpya ya Masomo Imeanza... Karibu Temeke Islamic Secondary School

Usajili wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2026 unaendelea.📌 Pia zipo nafasi za kuhamia: • Kidato cha Tatu 2026💰 Ada ni n...
02/04/2026

Usajili wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2026 unaendelea.

📌 Pia zipo nafasi za kuhamia:
• Kidato cha Tatu 2026

💰 Ada ni nafuu na inalipwa kwa awamu nne

📖 Masomo yanayofundishwa:
✅ Historia ya Tanzania na Maadili
✅ Biashara (Business Studies)
✅ Sayansi: Physics, Chemistry, Biology & Mathematics
✅ Sanaa: History & Geography
✅ Lugha: Kiswahili, English & Arabic
✅ Dini: Elimu ya Dini ya Kiislamu, Kuhifadhi Qur-an, Fiqhi, Tajweed & Sunnah

📍 Shule ipo Temeke Mwisho – Dar es Salaam
📞 Mawasiliano: 0676 469 191 / +255 719 178 616

✨ Mlete mwanao Temeke Islamic Secondary School apate Elimu na Malezi Bora. ✨

Tunawatakia Waislami wote duniani kheri ya sikukuu ya Eid El Fitri.
20/03/2026

Tunawatakia Waislami wote duniani kheri ya sikukuu ya Eid El Fitri.

Ramadan Mubarak..... Time for Iftar 🎉🫶
05/03/2026

Ramadan Mubarak..... Time for Iftar 🎉🫶

Wanafunzi wa Temeke Islamic wakishiriki Kwenye Mdahalo (DEBATE)
07/02/2026

Wanafunzi wa Temeke Islamic wakishiriki Kwenye Mdahalo (DEBATE)

MONTHLY TEST EXAMINATION - FORM TWO & FORM FOUR.Vidato vya Mitihani wakiwa Kwenye Mitihani ya Mwisho wa Mwezi wa Januari...
26/01/2026

MONTHLY TEST EXAMINATION - FORM TWO & FORM FOUR.

Vidato vya Mitihani wakiwa Kwenye Mitihani ya Mwisho wa Mwezi wa Januari.

STUDENT'S SCHOOL BARAZA.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Temeke Islamic wakiwasikiliza Viongozi wao wa Wanafunzi wakati w...
23/01/2026

STUDENT'S SCHOOL BARAZA.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Temeke Islamic wakiwasikiliza Viongozi wao wa Wanafunzi wakati wa School Baraza iliyowakutanisha wanafunzi na Viongozi wa Wanafunzi.

Karibu Temeke Islamic Secondary School... Kwa Elimu na Malezi Bora.

Karibu Temeke Islamic Secondary School
21/01/2026

Karibu Temeke Islamic Secondary School

Address

Temeke

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WCB Wasafii classic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category