Nguvu ya Rungwe

Nguvu ya Rungwe Twende Pamoja

23/01/2025

"Hajawahi kukuita dear, ila kimada anamuita my lotion.... Wanaume mkome".🤔

12/01/2025

"Unapokuwa unatangaza kuachana na Mke wako, katika ulimwengu wa Roho unatangaza kuwa huna akili 😄😄" - Mch. Mwambeta.

"Hata k**a anachonga sana komaa nae hivyo hivyo, ikiwezekana mtafutie ka Studio lakini usimwache"😂😂. - Mch. Mwambeta.

Unaweza kupata mafundisho zaidi kupitia Youtube Channel yake hii ya Mwambeta TV kwa kubonyeza link hii www.youtube.com/ pia unaweza kuwasiliana nae kwa ajili ya maombi na mahubiri kwa simu namba 0764 - 934349.

11/01/2025

"MUWE NA HELAA!!" - MCHUNGAJI MWAMBETA

Karibu kupata baraka za siku kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Mch. Yona Mwambeta. Kwa huduma zozote za kiroho na maombi unaweza kuwasiliana moja kwa moja na Mtumishi huyu kupitia namba za simu zilizopo kwenye Video hii.

17/11/2024

IBADA YA MKUTANO MKUU WA VIJANA KATI KMT DODOMA 17/11/2024

16/11/2024

MKUTANO WA VIAJANA KATI KMT DODOMA (UIMBAJI)

Sehemu pekee ya kumpeleka mwanao kupata mafunzo ya ufundi stadi ni chuo cha Ufundi stadi Kyela Moravian VTC.Wasiliana na...
09/01/2024

Sehemu pekee ya kumpeleka mwanao kupata mafunzo ya ufundi stadi ni chuo cha Ufundi stadi Kyela Moravian VTC.

Wasiliana nao leo na nafasi bado zipo.

Ukijani wa pekee na mwanana!!..Ukijani uliobeba uzuri na marashi adhimu yenye kuakisi baraka na upendeleo wa Mwenyezi Mu...
25/07/2023

Ukijani wa pekee na mwanana!!..
Ukijani uliobeba uzuri na marashi adhimu yenye kuakisi baraka na upendeleo wa Mwenyezi Mungu kwa maeneo haya ya Rungwe.

Mionzi hafifu ya jua lenye utamu wa kibaridi uchwara chenye kutia kiu ya vimiminika vinavyobubujisha maji matamu Kwenye vilima muruaa kabisa vya Ibigi,Kisungu,Kikungubhijha na Masugwa 😀.

Hatua yako moja ndani ya Rungwe ikufikishe kwenye ukurasa wa Rungwe Updates hivi karibuni hutajuta. Tufollow Kwenye Mitandao yote ya kijamii.

"We connect"

Tunakutakia Sikukuu njema ya Eid-Al-AdhaFollow Rungwe Updates
29/06/2023

Tunakutakia Sikukuu njema ya Eid-Al-Adha

Follow Rungwe Updates

Moja ya faida kubwa inayopatikana kwa kusoma vitabu ni kwamba "Kusoma Vitabu kunasaidia mtu kuwa na uwezo wa kufikiri kw...
22/01/2023

Moja ya faida kubwa inayopatikana kwa kusoma vitabu ni kwamba "Kusoma Vitabu kunasaidia mtu kuwa na uwezo wa kufikiri kwa kina".

Kwa mujibu wa wanasayansi wanasema Kusoma vitabu ni njia pekee ya kuweza kuupatia ubongo wako chakula.

Nakushauri Soma kitabu hiki cha JIANDAE KUSTAAFU KWA HESHIMA kwani ndani yake kuna madini yanayoweza kubadili mwelekeo wa maisha yako ya Leo na kesho.

Kitabu kinapatikana hapa Rungwe na kinaweza kukufikia sehemu yoyote. Tafadhali piga simu namba 0748-104 700. Hiki ni zaidi ya kitabu kwani kimebeba maarifa makubwa yenye tija kwa maisha yako. Karibu

Asubuhi hii tutasikika Live kutoka Studio za Chai Fm na Rungwe fm .Kuna mambo makubwa utayasikia kuhusiana na Chuo cha U...
05/01/2023

Asubuhi hii tutasikika Live kutoka Studio za Chai Fm na Rungwe fm .

Kuna mambo makubwa utayasikia kuhusiana na Chuo cha Ufundi stadi Moravian Kyela.

Usikose kufuatilia.

Address

P. O BOX 117
Tukuyu

Telephone

+255753031043

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguvu ya Rungwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share