Kingo Super Production - KSP

Kingo Super Production - KSP Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kingo Super Production - KSP, Media Agency, TRA Street, Tukuyu.

MUNGU AWATUNZE IKAWE HERI
06/11/2024

MUNGU AWATUNZE IKAWE HERI

KARIBUNI SANA KSP
06/11/2024

KARIBUNI SANA KSP

HONGERA MARY IKAWE KHERI KWAKO KARIBU KSP
06/11/2024

HONGERA MARY IKAWE KHERI KWAKO
KARIBU KSP

IKAWE KHERI MUNGU AWATUNZEKARIBU KSP
06/11/2024

IKAWE KHERI MUNGU AWATUNZE
KARIBU KSP

MUNGU AWATUNZE NAWAPENDA
29/10/2024

MUNGU AWATUNZE NAWAPENDA

Hongera kaka kwa kustafu twende sasa Uzaramoni
29/10/2024

Hongera kaka kwa kustafu twende sasa Uzaramoni

KARIBUNI
27/09/2022

KARIBUNI

27/09/2022
FANYA HAYA KWA MUME WAKO.1. Muite kwa jina lake la utani2. Muache atumie mamlaka yake k**akichwa cha nyumba.3. Usimcheke...
05/09/2020

FANYA HAYA KWA MUME WAKO.

1. Muite kwa jina lake la utani
2. Muache atumie mamlaka yake k**a
kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.
5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale
anapokusamehe.
6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.
7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia
wazazi wake na kuwapelekea chochote.
Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.
9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.
10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.
11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake.
Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.
12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.
13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka 14. Muamshe asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.
15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.
16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae k**a mume wako.
17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.
18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako. 19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.
20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya
kweli leo na daima.
Na wasio serious na mahusiano
wanaokupotezea muda wako wajikatae
kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya
kutimiza kusudi la Mungu kwako. Kwanini tusiseme "Amen"!

Usiache

09/01/2019

Karibuni kwenye ukurasa rasmi wa Kingo Super Production. Tunajishughulisha Video Production, Graphics Design pamoja Printing. Tunapatikana TRA street Tukuyu. Karibu Sana

Address

TRA Street
Tukuyu
25500

Telephone

0752881456

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kingo Super Production - KSP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kingo Super Production - KSP:

Share

Category