Sunuka TV

Sunuka TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sunuka TV, Digital creator, KINGAZI B, KWEMBE, Kigoma.

Football updates| Transfer News|Match highlights| Player updates & Stories| Entertainment| Tanzania & International
WhatsApp Chaneli JIUNGE๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VbD4IozLNSa0syNGOd3d

KENYA WABAGAZWA NA KUBANANGWA NA TANZANIA๐Ÿ˜€๐Ÿ—ฃ๏ธ  Tanzania imepata ushindi mnono dhidi ya Kenya katika michuano ya kufuzu uk...
03/09/2026

KENYA WABAGAZWA NA KUBANANGWA NA TANZANIA๐Ÿ˜€
๐Ÿ—ฃ๏ธ Tanzania imepata ushindi mnono dhidi ya Kenya katika michuano ya kufuzu ukanda wa CECAFA kwa ajili ya Mashindano ya Soka ya Shule ya Afrika ya CAF nchini Rwanda.

IPI IMEKUBAMBA HAPA..?    #๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ก๐—ฒ๐˜„๐˜€
03/09/2026

IPI IMEKUBAMBA HAPA..? #๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ก๐—ฒ๐˜„๐˜€

03/09/2026

Hii inawapa faida kubwa sana Yanga kibiashara. Kwa hapa hongereni sana wananchi

UPDATES KUHUSU KIKOSI CHA YANGA SC๐Ÿ—ฃ๏ธ Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu Tanzania bara, Young Africans sc kime...
02/09/2026

UPDATES KUHUSU KIKOSI CHA YANGA SC
๐Ÿ—ฃ๏ธ Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu Tanzania bara, Young Africans sc kimewasili salama Gaborone, Botswana.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Siku ya Jumamosi Yanga watakuwa wageni wa Gaborone United ya nchini Botswana kwenye mchezo wa CAFCL hatua ya awali.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Mchezo huo utapigwa ya saa1:00 usiku kwa majira ya Tanzania.

NB: Kilalakheri kwenu wananchi......๐Ÿ‘๐Ÿ‘!

#๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ก๐—ฒ๐˜„๐˜€

OLE WAO KMKM KWA MAANA AL AHLI WANAKUJA๐Ÿ˜€๐Ÿ—ฃ๏ธ Klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya imemaliza mazoezi ya mwisho na leo h...
02/09/2026

OLE WAO KMKM KWA MAANA AL AHLI WANAKUJA๐Ÿ˜€
๐Ÿ—ฃ๏ธ Klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya imemaliza mazoezi ya mwisho na leo hii wataianza safari ya kuelekea visiwani Zanzibar kuwakabili KMKM kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika hatua za awali.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Mchezo huo utapigwa jumamosi hii pale visiwani Zanzibar

Unawaona KMKM wakichomoka hapa...๐Ÿค”๐Ÿค”?

MAMBO 10 NILIYOYAONA FOUNTAIN GATE FC vs YANGA1. K**a kawaida kocha wa Yanga ameanza na Shalulile na Toure juu ila kufan...
31/08/2026

MAMBO 10 NILIYOYAONA FOUNTAIN GATE FC vs YANGA
1. K**a kawaida kocha wa Yanga ameanza na Shalulile na Toure juu ila kufanya pressing kuanzia juu๐Ÿ‘๐Ÿ‘

2. Hii ilisababisha muda mwingi Fountain Gate wawe kwenye eneo lao na kuwapa Yanga muda mwingi wa kufanya maamuzi๐Ÿ˜€

3. Mwanzoni Fountain Gate k**a ilivyo kwa timu zingine, walijaribu kuziba nafasi ili Yanga wasipige pasi mpenyezo(pe*******on passes) lakini muda ulivyozidi kwenda mambo yalibadilika, kivipi๐Ÿค”?

4. Kwanza; Walianza kuchoka hivyo ikawa rahisi kwa Yanga kupiga pe*******on passes๐Ÿ‘

5. Pili; Uwepo wa Namba10 halisi( Aziz ki) umeongeza kitu kwa Yanga na kuwasaidia kufungua ngome ya Fountain Gate๐Ÿ‘๐Ÿ‘

6. Sadiki Athumani, what a talent๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ! Ni yeye pekee aliyejaribu kwa nyakati fulani kuwavuruga viungo wa Yanga na wakavurugika.

7. Fitness ya Aziz Ki bado haijawa vizuri, kuna namna unaona kabisa yupo tofauti na wenzie. Nadhani kukosa pre-season kumemuathiri๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ

8. Mshaurini mapema Chuga Boy akue kiakili ajue anachezea klabu kubwa sivyo, msilete huruma baadaye kwamba wazawa hawapati namba๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

9. Bado Yanga wameendelea kuinyesha uimara kwenye safu yao ya ulinzi kwa kuzima majaribio mengi ya wapinzani kabla ya kumfikia Diara๐Ÿ‘๐Ÿ‘

10. Huyu mwamuzi wa leo k**a tusingekuwa na FVS basi tungeshuhudia vituko vingi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

FT: FOUNTAIN GATE 0 - 2 YANGA

NB: Mzee amefunga tena, vp "Nisameheni" wenu huko ana goli ngapi.....๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†?

31/08/2026

Magoli yote| FAOUNTAIN GATE 0 - 2 YANGA|

NI MNYAMA Vs WACHIMBA DHAHABU๐Ÿ—ฃ๏ธ Leo mnyama atakuwa mwenyeji wa Geita Gold FC kwenye uwanja wa Jenerali Meja Isamuhyo.๐Ÿ—ฃ๏ธ ...
31/08/2026

NI MNYAMA Vs WACHIMBA DHAHABU
๐Ÿ—ฃ๏ธ Leo mnyama atakuwa mwenyeji wa Geita Gold FC kwenye uwanja wa Jenerali Meja Isamuhyo.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Takwimu zao mpaka sasa msimu huu zipo k**a ifuatavyo;
P TEAM MP G Points
02 Simba 04 7:2 12
05 Geita 04 9:5 07

Unaitakia Simba ushindi wa goli ngapi....๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€?

Address

KINGAZI B, KWEMBE
Kigoma
16111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sunuka TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sunuka TV:

Shortcuts

Share