Top Plus Tv Tanzania

Top Plus Tv Tanzania The Official page for Top Television Tanzania | Kilele Cha Mafanikio | [email protected] | I

29/07/2026

"INAWEZEKANAJE KUTAPELIWA KIRAHISI HIVI"?
HII NDO MBINU YAO"TUMA KWA NAMBA HII"
MELODIES-TOP PLUS TV

27/07/2026

KUFANYA MAPENZI NI DHAMBI KWA JAMII YAKO, LAKINI KWA MUNGU KATIKA KRISTO HAKUNA MWENYE DHAMBI, - BISHOP CEASAR MASISI

27/07/2026

mwanaume alipigwa na kuomba msaada kwa dada ake .
ukatili wa kijinsia ni kwa wote mwanaume hata mwanamke .
Tujitahidi kulinda haki za binadamu dhidi ya ukatili wa kijinsia

27/07/2026

NI KWELI WANAUME WENGI HAWANA MKONO WA KUTOA PESA KWA WAPENZI WAO??

27/07/2026

"SIWEZI KUTUMIA NAULI YANGU KUMFUATA MWANAUME KWAKE,WAJIBU WA MWANAUME NI KUHAKIKISHA MPENZI WAKE ANAFIKAJE KWAKE"NILIWAHI KUMSAIDIA MWANAUME ELFU TANO YANGIU ILA NILIVYOTAFAKARI NIKAWEKA MTEGO WA KUIRUDISHA PESA YANGU - WINIFRIDA ZAKAYO

25/07/2026

"SIWEZI KUPANGIWA CHA KUFANYA NA MTU YEYOTE"DOKTA WA MCHONGO AFUNGUKA NDANI YA TOP PLUS TV.

09/03/2026

Milipuko mikubwa yaripotiwa kutokea katika mji wa Tehran baada ya mashambulizi ya anga yanayodaiwa kufanywa na Israel kulenga ghala la kuhifadhi mafuta la Iran.
Moto mkubwa na moshi mzito ulitanda angani huku hali ya taharuki ikiripotiwa miongoni mwa wakazi wa jiji hilo.

Mvutano kati ya Israel na Iran unaendelea kuongezeka huku dunia ikifuatilia kwa karibu matukio haya ya Mashariki ya Kati.

Unadhani nini kinaweza kutokea baada ya shambulio hili?

07/03/2026

UWANJA WA TAIFA WA IRAN WALIPULIWA NA ISRAEL

07/03/2026

VITA VYA IRAN NA ISRAEL: UWANJA WA TAIFA WA IRAN WALIPULIWA!

Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa leo Machi 3, 2026 jijini Dodoma, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masha...
03/03/2026

Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa leo Machi 3, 2026 jijini Dodoma, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema inafuatilia kwa karibu mwenendo wa hali ya usalama katika nchi za Mashariki ya Kati.

Serikali imewashauri Watanzania waliopo au wanaotarajia kusafiri kwenda katika mataifa ikiwemo Bahrain, Israel, Kuwait, Qatar, Falme za Kiarabu (UAE) na Oman, kuchukua tahadhari za ziada kutokana na mazingira ya sasa ya kiusalama.

Miongoni mwa maelekezo yaliyotolewa ni:

Kuepuka safari zisizo za lazima kwenda au kutoka katika eneo hilo kwa kipindi hiki.

Kubaki katika makazi au maeneo salama yanayopendekezwa.

Kufuata maelekezo ya mamlaka za maeneo husika.

Kuepuka maeneo yenye shughuli za kijeshi au kiusalama.

Kutumia njia rasmi za mawasiliano kwa taarifa na msaada.

Kuhifadhi pasipoti na nyaraka muhimu sehemu salama.

Aidha, Serikali imewataka Watanzania walioko katika ukanda huo kujisajili kupitia mfumo maalum wa usajili wa diaspora kwa ajili ya uratibu na ufuatiliaji wa karibu endapo dharura itatokea.

Kwa dharura au maelezo zaidi, raia wametakiwa kuwasiliana na balozi za Tanzania zilizo karibu nao au kufuatilia taarifa rasmi kutoka serikalini.

ANCHOR OUTRO:

Serikali imehimiza utulivu na uangalifu, huku ikiendelea kufuatilia kwa karibu hali ya usalama katika ukanda wa Mashariki ya Kati.

Hiyo ni taarifa kwa sasa.

Address

TOP TELEVISION TZ
Ukonga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Top Plus Tv Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Top Plus Tv Tanzania:

Share

Category