Nkosi Wa Afrika

Nkosi Wa Afrika NAFASI ZA AJIRA
Matangazo ya Biashara, Huduma na Matukio.Wasiliana Nasi Whatsapp +255 776 441 991

11/11/2023

06/11/2023

Hello
Today we take orders for wednesday delivery,place your order today.
Call/whatsapp 0657650064

AVAILABLE PRODUCE ON WEDNESDAY
•white cabbage 1pic 2000Tsh
•Ginger 1kg 3000tsh
•Okra/bamia 1kg 3000Tsh
•small cucumber 1kg 3500tsh
•Chayote 1kg 4000tsh
•bitter gourd/karela 1kg 4000
•Nyanya chungu 1kg 3000Tsh
•Green chill 1kg 6000tsh
•Cucumber 1kg 2000Tsh
•Red pepper 1kg 9000tsh
•Yellow pepper 1kg 9000tsh
•Green pepper 1kg 3000tsh
•cassava/Mihogo fungu 3000
•Ndizi Mzuzu/mbichi/kuiva 1pic 700
•Cooking banana 10,000tsh
•Magimbi 5000tsh
•Baby spinach 1kg 5000tsh
•mango 1000Tsh
•sweet yellow potato/viazilishe 5000Tsh
•Pumpkin 5000tsh
•Orange 1kg 1500tsh
•papaya 3000tsh
•Avocado 1500 big size
•Zabibu kavu packet 5000tsh
•Watermelon 5000Tsh
•pineaple 3000tsh
•limao 3000Tsh
•Tomato 1kg 2500tsh
•potato 1kg 2000tsh
•Eggplant 1kg 2000Tsh
•Lime 1kg 3000Tsg
•Butternut 1kg 3000tsh
•Red onion 1kg 3000tsh
•Garlic 1kg 10,000tsh
•Green peas 1kg 8000tsh
•Oyster mushroom 1kg 13,000
•Grapefruit/Balungi 4000tsh
•Green beans 1kg 4000tsh
•strawberry packet 7000Tsh
•Brocoli 1kg 6000Tsh
•Cauliflower 1kg 5000tsh
•passion fruits 1kg 5000tsh
•Zucchini 1kg 4000tsh
•Betroot 1kg 4000tsh
•Basil bunch 3000tsh
•Carrot 1kg 2500tsh
•Lettuce 1kg 4000tsh
•Spring onion bunch 3000tsh
•Red cabbage 1kg 3500tsh
•Leeks 1kg 3500tsh
•Celery 1kg3000tsh
•parsley bunch 3000tsh
•Rosemary bunch 3000tsh
•Mbeya rice 1kg 3500
•beans 1kg 3500tsh
•Lentil 1kg 5000tsh
•lentil flour 1kg 4000tsh
•coriander bunch 3000
•Mint bunch 3000
•Yellow beans/maharage ya njano 1kg 3500.
•Mbeya rice 1kg 3500tsh.
•Ustam pastry margarine 10kg box
•Chickpeas 1kg 11,000tsh
🇹🇿 🇹🇿

Bar Manager PositionLocation: Paje, ZanzibarGlow Restaurant Zanzibar, is currently seeking for a skilled and experienced...
31/10/2023

Bar Manager Position

Location: Paje, Zanzibar

Glow Restaurant Zanzibar, is currently seeking for a skilled and experienced Bar Manager.

Requirements:

- Minimum 3 years of experience as a Bartender.
- Fluent in English, knowledge of Swahili is a plus but not mandatory

To apply, please send your resume, cover letter, and relevant certifications to WhatsApp Only. No. +255713367772. No Calls Allowed.
Please include 'Bar Manager Position' in the subject line. Only shortlisted candidates will be contacted.

31/10/2023

Photographers and Videographers kujeni hapa.
Kuna mteja anataka kufanya photoshoot.
Send your prices through WhatsApp 0776 441 991
Location: Jambiani/Paje

We are looking for a Cook for our small boutique hotel/ restaurant in Nungwi.Requirements:*Be passionate about cooking, ...
28/10/2023

We are looking for a Cook for our small boutique hotel/ restaurant in Nungwi.
Requirements:
*Be passionate about cooking, positive attitude, flexible on schedule.
*Must speak Swahili and be fluent in English (written/spoken).
*Preferred proven experience in F&B. Minimum 2 years.
*Knowledge of local and international food.
*Knowledge of control stock/supplies reception.
*Knowledge of hygiene standards in the kitchen/restaurant.

Candidate must reside in Nungwi/Kendwa or close by area. Accommodation wont be provided.

If interested please send your CV at [email protected] or drop by at MITI beach bungalows ONLY.
Applications sent through FB wont be taken in consideration.
Asante sana!

Cinnamon Hotel, Jambiani is currently looking for new staff members:-Receptionist-WaiterExperience is required. Send us ...
25/10/2023

Cinnamon Hotel, Jambiani is currently looking for new staff members:
-Receptionist
-Waiter
Experience is required. Send us your work application to [email protected]
Thank you!

Barman/waiter needed location  Paje ~ Zanzibar RequirementsExperience in cocktails Experience in restaurant service Engl...
24/10/2023

Barman/waiter needed location Paje ~ Zanzibar
Requirements
Experience in cocktails
Experience in restaurant service
English fluency
WhatsApp me at 0776 441 991
or send your cv in pdf format to
[email protected]

K**a una kipaji cha kuandika  makala mbalimbali au unachora katuni na ungependa kujiongezea ujuzi huku ukipata pesa kwa ...
24/10/2023

K**a una kipaji cha kuandika makala mbalimbali au unachora katuni na ungependa kujiongezea ujuzi huku ukipata pesa kwa kuandika au kuchora katuni zitakazochapishwa mtandaoni
Tuma CV yako kwenda [email protected]
CV iwe katika mtindo wa PDF
Tutafute WhatsApp 0776 441 991 kwa maelezo zaidi.

Nendeni mkafanye intaviyuuuu
21/10/2023

Nendeni mkafanye intaviyuuuu

19/10/2023

MWAMBIE MDOGO WAKO ANAYEKWENDA CHUO KIKUU.
1.Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.
2.Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
3.Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.
4.Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Meru,tena kule ndanindani.
5.Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.
6.Mwambie semester ya kwanza atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.
7.Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.
8.Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki 5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.
9.Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza maandazi na kalamu. Ajaribu bahati yake.
10.Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.
11.Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo k**a ni wa k**e ajifunze kusali.
12.Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.
13.Mwambie k**a ni wa k**e,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.
14.Mwambie kwa "Kapuku, kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.
15.Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.
16.Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.
17.Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Channels za watu muhimu.
18.Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.
19.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia.
20. MWISHO
Mwambie Hii makala aitunze asipokutana na niliyoyasema anicheki kwa email [email protected] nitamuomba radhi.Na: Mshambaflan 🖊
Mwandishi wa Makala hii ni mwandishi mashuhuri wa Makala za kijamii katika mitandao ya Instagram na twitter huko anajulikana kwa jina la mshambaflan (NASSARY)

Address

Jambiani
Unguja

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nkosi Wa Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share