Sports Halisi

  • Home
  • Sports Halisi

Sports Halisi We provides a wide range of Sports News , in Kiswahili and English, and highlights sports events, Sports Match...

08/06/2025

DIAMOND PLATNUMZ NA BIEN KUACHIA WIMBO USIKU HUU

Mwanamuziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz Ameandika kupitia ukurasa Wake wa Instagram kuwa Leo Usiku ataachia Wimbo Akiwa na Msanii Bien kutoka Nchini Kenya

Ni Muda mrefu msanii huyo Kushiriki katika Wimbo na Wasanii kutoka Kenya hii imezua furaha Kubwa kwa Wakenya na Watanzania

Diamondplatnumz 🇹🇿 X 🇰🇪 Bienaimesol

Unahisi nani atamfunika mwenzake..?

07/06/2025
05/06/2025

Kampuni ya usafirishaji ya “Raphael Logistics” leo Asubuhi Imeanza Safari ya kubeba boti hii kutoka Mkoani Mtwara kwenda Mkoani Mwanza

Umma umejulishwa kuwa gari yenye Namba za Usajili (T351 EAD/T190 DWT) yenye mzigo aina ya BOAT imeanza Safari kutoka Mtwara kupitia mikoa ya Ruvuma-Njombe-Iringa-Morogoro-Dodoma-Singida-Tabora-Shinyanga mpaka kufika Mwanza.

Gari hiyo Imebeba Mzigo ambao una vipimo vifuatavyo:

Urefu - mita 29
Upana - mita 5.6
Kimo-mita 7.4

Kampuni hiyo Imeomba watumiaji wa Barabara hiyo kuchukua Tahadhari kwani safari hiyo itachukua mwezi mzima Kuanzia Leo (June 5,2025) na Wanatarajia kufika Mwanza mwezi ujao (Julai, 2025)

04/06/2025

Mwanamuziki Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo kwenye hafla ya kuupokea mwenge wa uhuru katika Wilaya ya Ilala aliwaambia Mashabiki zake kuwa kwa sasa yeye ni Mume wa mtiu hivyo Kwa sasa kuna Majukumu ya usiku anatakiwa kuyafanya kwa Mke wake hivyo atapunguza kufanya show za usiku mwingi

"Niwaambie kitu siku ya leo mimi sikuwa vizuri kwenye afya nilikuwa najiskia kuumwa Umwa unajua ukishakuwa ndani ya Ndoa kuna ka namna unatakiwa uwe umejifungia ndani tu unafanya mambo yako na Yanawahi kukaa si nakula kiuhalali sasa hivi si ndio sasa hivi nafanya mambo yangu tu"

"Mimi ni Mume wa Mtu jamani nyie ninakazi Maalumu muda huu mjue hamuwezi kunielewa kwa sababu wengine hapa wala Hamjaoa na hamjaolewa ... Mkioa au Mkiolewa ndio Mtanielewa Nini namaanisha" Amesema Diamond Platnumz

Fungua comment kuangalia video 🎥

04/06/2025

Ukipitia BIO ya Zuchu kwenye mtandao wa Istagram Kwa Sasa hautakuta tena kipengele cha Msanii aliyepo katika lebo ya WCB WASAFI Bali kwa sasa inasoma Mke wa Nasibu "Diamond Platnumz"

Kwa maana hiyo Mali ya Mume Mke naye yakwake Zuchu kwa sasa ni Boss pale WCB WASAFI na Wasafi Media

01/06/2025

Andiko la Diamond Platnumz ✍️

"Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka uwe na moyo wa Subra na hasa kukaza roho pindi mtu au watu wanapokua wanakupakazia ubaya fulani kwenye jamii halaf wewe una Ukweli wake lakini unatakiwa ukae tu kimya Usijibu ilhali ukweli unao ndani…Kwakweli si jambo jepesi linataka Ustahmilivu wa hali ya juu sana, na siwezi sema eti nauweza sana, lakini namshukuru Mwenyez Mungu amenijaalia Hekima hio kwa kiwango chake, na Nimekua nikiishi hivyo kwa Muda mrefu kukaa kimya pindi yoyote akijaribu kusema lolote zidi yangu, na ndio maana ata interview nimekua naepuka kufanya skuizi… japo si jambo jepesi lakini faida yake nimeiona na ni kubwa maana vita vyako inakua unapambaniwa na Mwenyez Mungu na inakufanya Uwe Mshindi kila siku….
Anyways: Najua kila mmoja wenu ana picha tofauti kabisa kuhusu Diamond Platnumz na KUOA, ila tu nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" Diamond

Toa maoni Yako Hapa

01/06/2025
01/06/2025
30/05/2025

Socialite Maarufu wa TikTok Zaidaty Maarufu k**a "Kidemu Cha TikTok" Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo

Zaidaty Alikuwa akisumbuliwa na Ugonjwa Kwa Muda mrefu

Taarifa Hizi zimethibitishwa na Mume Wake Kwenye Ukurasa wake wa TikTok

Siku kadhaa nyuma Zaidaty alipost Picha akiwaomba Msamaha Watu wote ambao Amewakosea Kwani hakuna Mtu ambaye anajua atazikwa na nani

"K**a kuna mtu nime mkosea anisamee maana sijui kesho yangu tujifunze kuishi vizuli na watu akuna anae jua atazikwa na nani" Aliandika Zaidaty

Mungu Ailaze Roho yake mahali Pema peponi AMEN/AMIN

30/05/2025

SUGU NI TAITA 😀😀

Kutoka kwenye Ukurasa Wake wa Instagram

"Siasa za Bongo zilianza kuharibika nyakati hizi, hii siku nilibaki Mbunge wa Upinzani peke yangu Bungeni ili kusoma hotuba yangu k**a Waziri kivuli… Mara Wabunge wa CCM wakaanza kunizomea na kunitukana matusi na makelele mengi ili kunizuia nisisome hotuba kwani ilikuwa inaipiga sana SERIKALI kwa hoja …
Ndio nikatoka Bungeni na nikawapa hiyo KİTU!

BAADA ya Mh Sugu Kuandika Chapisho hilo Shabiki alimuuliza k**a Naye Anaenda CHAUMMA Hilo Ndio jibu lake 😀

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Halisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports Halisi:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share