MBOGA MEDIA Online Tv

MBOGA MEDIA Online Tv HABARI | BURUDANI | MICHEZO
MY C.E.O Mboga Comedian
For Business πŸ“ž0614426373 πŸ”₯πŸ”₯

29/09/2025
πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜ŽWalipakia mkaa na kwenda kulala ili asubuhi na mapema waupeleke mjini. Kumbe mkaa ulikuwa haujazima vizuri Hiki ndi...
25/09/2025

πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜ŽWalipakia mkaa na kwenda kulala ili asubuhi na mapema waupeleke mjini.

Kumbe mkaa ulikuwa haujazima vizuri

Hiki ndicho walichokutana nacho asubuhπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—

Mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sc, Fiston Kalala Mayele amefunga magoli matatu wakati, Pyramids Fc ikiiondoa A...
25/09/2025

Mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sc, Fiston Kalala Mayele amefunga magoli matatu wakati, Pyramids Fc ikiiondoa Al Ahli Saudi ya Saudi Arabia kwa jumla ya mabao 3-1 katika Kombe la Mabara la FIFA 2025.

Al Ahli Saudi imeondoshwa kwenye michuano hiyo licha kusheheni baadhi ya majina makubwa wakiwemo winga wa zamani wa Man City, Riyad Mahrez, kiungo wa zamani wa Barcelona, Franck Kessie na mshambuliaji wa zamani wa Brentford, Ivan Toney aliyefungia bao pekee la kufutia machozi kwa mkwaju wa penati.

Pyramid watamenyana na Mabingwa wa Amerika Kaskazini/Kusini na Mshindi atakutana na PSG katika fainali. Klabu hiyo itakuwa nchini Rwanda wiki ijayo kumenyana na APR FC katika Mashindano ya klabu bingwa Afrika.

FT: Al Ahli Sc πŸ‡ΈπŸ‡¦ 1-3 πŸ‡ͺπŸ‡¬ Pyramids
⚽ 45' Toney (P)
⚽ 21' Mayele
⚽ 71' Mayele
⚽ 75' Mayele
MBOGA MEDIA Online Tv

SHABIKI WA ALIKIBA HAWEZI PITA HII PICHANi follow MBOGA MEDIA Online Tv
25/09/2025

SHABIKI WA ALIKIBA HAWEZI PITA HII PICHA

Ni follow MBOGA MEDIA Online Tv

25/09/2025
MBONA ZUWENA PLATNUMZ AMEANZA KUNONA mmni follow MBOGA MEDIA Online Tv
23/09/2025

MBONA ZUWENA PLATNUMZ AMEANZA KUNONA

mmni follow MBOGA MEDIA Online Tv

23/09/2025
21/09/2025

KUTOKA BOTSWANA: Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amekiri kwamba wamepokea taarifa kutoka CAF ikiwajuza kutoruhusiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi yao ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Gaborone United kutoka Botswana.

Ahmed amesema wameanzisha mazungumzo na CAF ikiwemo kukata rufaa na baadae ndio watatoa tamko rasmi kwa mashabiki wao kujua mustakabali wa jambo hilo.

Simba jana ilicheza mechi ya mkondo wa kwanza dhidi ya Gaborone United na kushinda kwa goli 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)

21/09/2025

-----------------



























20/09/2025

-----------------



























Habari za Hivi Punde 🚨🚨🚨Watu wa Burkina Faso kwa sasa wanajenga sanamu kubwa ya Rais wao Ibrahim Traoré ili kusherehekea...
20/09/2025

Habari za Hivi Punde 🚨🚨🚨

Watu wa Burkina Faso kwa sasa wanajenga sanamu kubwa ya Rais wao Ibrahim TraorΓ© ili kusherehekea juhudi zake katika kuirekebisha nchi. Wamesema hawatasubiri afariki ndipo wamtukuze, bali wanamsherehekea akiwa hai.

Funzo la Maadili: Ukifanya mambo makubwa, daima utaheshimiwa na kusherehekewa.

20/09/2025

-----------------




































Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MBOGA MEDIA Online Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MBOGA MEDIA Online Tv:

Share