Habari-Mpya

Habari-Mpya Socially

Mbavu ya kushoto 𝐂𝐇𝐔𝐌𝐀 Boka Chadrak karibu sana Jangwani🔰🦾
08/07/2024

Mbavu ya kushoto 𝐂𝐇𝐔𝐌𝐀 Boka Chadrak karibu sana Jangwani🔰🦾


NBC Premier league leo JumatatuSaa 12:00 jioni, Yanga SC watakuwa Azam Complex Chamazi wakiwakaribisha Ihefu SCKatika me...
11/03/2024

NBC Premier league leo Jumatatu

Saa 12:00 jioni, Yanga SC watakuwa Azam Complex Chamazi wakiwakaribisha Ihefu SC

Katika mechi ya mzunguko wa kwanza timu hizi zilipokutana Ihefu SC waliibuka na ushindi

Je ni Ihefu tena ama wananchi kulipa kisasi?

Taarifa ya Simba SC juu ya kufungiwa kusajili na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kufuatia madai ya klabu ya Teung...
24/11/2023

Taarifa ya Simba SC juu ya kufungiwa kusajili na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kufuatia madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal.

Simba SC imefafanua kuwa ilimuuza mchezaji Pape Ousmane Sakho kwa klabu ya Quevilly Roven Metropole ya Ufaransa mwezi August 2023 kwa makubaliano ya malipo ni ya awamu mbili.

Malipo ya awamu ya kwanza (50%) yalilipwa tarehe 2 October 2023. Klabu ya Simba ilikuwa inasubiri awamu ya pili ili kuilipa asilimia 15% ya mauzo kwa klabu ya Teungueth ya Senegal.

Klabu ya Simba imekiri kuwa kulikuwa hakuna mawasiliano na klabu ya Teungueth ya Senegal yaliyopelekea kadhia hii.

Hata hivyo Wekundu hao wa Msimbazi wameweka bayana kuwa wapo mbioni kukamilisha malipo hayo hivi punde huku ikisisitiza kuwa itaendelea kuheshimu sheria, kanuni na taratibu za mpira wa miguu k**a ambavyo imekua ikifanya.

Klabu ya Yanga imezindua jezi zake mpya kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika zenye rangi ya kijani, manjano ...
24/11/2023

Klabu ya Yanga imezindua jezi zake mpya kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika zenye rangi ya kijani, manjano na nyeusi.

✍️ Unaupa asilimia ngapi U*i mpya wa Kimataifa wa Wananchi?

Mara ya mwisho Tanzania tulicheza na Morocco katika uwanja wa Benjamin Mkapa wakati huo ukiitwa Uwanja wa Taifa ilikuwa ...
24/11/2023

Mara ya mwisho Tanzania tulicheza na Morocco katika uwanja wa Benjamin Mkapa wakati huo ukiitwa Uwanja wa Taifa ilikuwa tarehe 24/03/2013 ulikuwa ni mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2014 nikiwa sehemu ya kikosi hicho tulipata ushindi wa goli 3-1.

Magoli ya mchezo huo mawili yalifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 67 na 80 huku goli la kwanza likifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 46 kwa upande wa Morocco walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa El Arabi dakika ya 90+3’.

Kwa bahati mbaya katika Kundi letu C lilikuwa na timu za Ivory Coast, Morocco, Gambia na sisi, hapo kigogo aliyeongoza Kundi alikuwa Ivory Coast alimaliza na alama 14, Morocco nafasi ya pili akiwa na alama 9 na Gambia akimaliza wa mwisho kwakuwa na alama 4.

𝗦𝗧𝗔𝗥𝗦 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗝𝗞𝗧, 𝗞𝗨𝗡𝗗𝗨𝗖𝗛𝗜, 𝗟𝗘𝗢🇹🇿Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” wakiendelea na mazoezi kujiandaa na michezo ...
15/11/2023

𝗦𝗧𝗔𝗥𝗦 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗝𝗞𝗧, 𝗞𝗨𝗡𝗗𝗨𝗖𝗛𝗜, 𝗟𝗘𝗢🇹🇿

Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” wakiendelea na mazoezi kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia vs Niger na Morocco , mazoezi yamefanyika uwanja wa JKT, Kunduchi.

MOUD Mtanzania

13/11/2023

💯💯🔥🙏See it to the end see how you supposed to teach your child to love🔥🔥💪💪

11/11/2023

Time a time before time time you🕰️🔔🕛

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari-Mpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari-Mpya:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share