Mbagala TV

*KARIBU SANA KIKA STATIONERY!* Tunatoa huduma bora, za haraka na kwa uaminifu mkubwa. Hizi hapa ni baadhi ya huduma zetu...
05/05/2025

*KARIBU SANA KIKA STATIONERY!*
Tunatoa huduma bora, za haraka na kwa uaminifu mkubwa. Hizi hapa ni baadhi ya huduma zetu:

*HUDUMA ZINAZOPATIKANA:*
🔹 Maombi ya vyeti vya kuzaliwa na vya vifo
🔹 Maombi ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB) kwa Degree na Diploma
🔹 Maombi ya vyuo vikuu (Degree na Diploma)
🔹 Usajili wa jina la biashara (BRELA)
🔹 Usajili wa leseni ya biashara
🔹 Maombi ya passport ya kusafiria
🔹 Maombi ya ajira kupitia AJIRA PORTAL
🔹 Maombi ya TIN Number (TRA)

Kauli Mbiu Yetu:
"Kazi Nzuri Kwa Uaminifu Mkubwa."

Tungependa sana kukuhudumia.
Je, una swali lolote muda huu? Usisite kuwasiliana nasi!

*WASILIANA NASI LEO:*
0621 373 818
0676 073 818

Au jiunge na group letu kwa taarifa zaidi
https://chat.whatsapp.com/F7Gp6WR0DSI1grwjXgAhCW

HAIJATOLEWA NA BODI YA LIGI WALA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TFF
23/04/2025

HAIJATOLEWA NA BODI YA LIGI WALA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TFF

ELIE MPANZU – WINGA MPYA, VIBE MPYA MSIMBAZI!Simba SC wamepata silaha mpya kutoka DR Congo – Elie Mpanzu!Akiwa na kasi y...
22/04/2025

ELIE MPANZU – WINGA MPYA, VIBE MPYA MSIMBAZI!

Simba SC wamepata silaha mpya kutoka DR Congo – Elie Mpanzu!
Akiwa na kasi ya radi na chenga kali za maumivu, Mpanzu tayari ameanza kuonyesha kwamba yeye sio wa kawaida. Uwanjani anacheza kwa akili, anasumbua mabeki na kuleta presha kwenye mabeki wa timu pinzani.

Mashabiki wa Msimbazi wanatarajia makubwa kutoka kwa mchezaji huyu mwenye njaa ya mafanikio.
Na ukiangalia performance zake – huwezi kukataa, jamaa yupo sahihi kabisa!

Je, unadhani Mpanzu atakuwa mchezaji wa msimu kwa Simba SC?
Drop comment yako na usisahau ku-follow kwa updates zaidi za soka bongo!

Clement Walid Mzize: Kinara wa Mabao Ligi Kuu Tanzania, Je Atamaliza na Kiatu cha Dhahabu? Kipaji cha Muheza kinachong'a...
22/04/2025

Clement Walid Mzize: Kinara wa Mabao Ligi Kuu Tanzania, Je Atamaliza na Kiatu cha Dhahabu?

Kipaji cha Muheza kinachong'ara Jangwani!

Kutoka kijijini Muheza, Tanga hadi kwenye jukwaa kubwa la soka Tanzania… Mzize ameibuka kuwa mmoja wa wachezaji wanaotajwa zaidi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Akiwa na umri wa miaka 21 tu, na kujiunga na Yanga SC mwaka 2022, Mzize ameonyesha ukomavu mkubwa wa kimchezo. Anacheza k**a mshambuliaji wa kati na mara nyingine hucheza k**a winga wa kushoto. Kasi yake, utulivu mbele ya lango, na uwezo wake wa kupiga mashuti ya mbali vinamfanya awe mchezaji wa kutazamwa kila mechi.

Kwa sasa ana mabao 13 na ndiye kinara wa mabao ligi kuu, akiwa mbele ya washindani wake wakuu Prince Dube na Jean Ahoua walio na mabao 12 kila mmoja.

Kipaji chake kinatisha – lakini pia kinatia matumaini kwa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania. Mashabiki wengi tayari wanamuona k**a “mchezaji wa kizazi kijacho.”

Je, unadhani Mzize atamaliza msimu akiwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania?
Tuandikie maoni yako hapa chini na usisahau ku-follow kwa taarifa zaidi za soka la nyumbani!

Klabu ya Yanga SC waendelea kutamba mbele ya wapinzani wao baada ya kuwafunga Fountain gate FC 0 - 4 katika uwanja wa Ta...
21/04/2025

Klabu ya Yanga SC waendelea kutamba mbele ya wapinzani wao baada ya kuwafunga Fountain gate FC 0 - 4 katika uwanja wa Tanzanite kwara@ - manyara

Yanga wanaendelea kuongoza ligi kwa alama 70 katika msimamo huku Simba SC akiwa nafasi ya pili kwa alama 57 na viporo vinne

FT : FOUNTAIN GATE 0 - 4 YANGA SC
Clement mzize ⚽⚽
Azizi ki ⚽
Chama ⚽

FOUNTAIN GATE 0 - 2 YANGA SCClement mzize Azizi ki
21/04/2025

FOUNTAIN GATE 0 - 2 YANGA SC
Clement mzize
Azizi ki

FOUNTAIN GATE 0 - 2 YANGA SC
21/04/2025

FOUNTAIN GATE 0 - 2 YANGA SC

VIKOSI VINATARAJIWA KUANZA MECHI YA LEO FOUNTAIN GATE VS YANGA SC
21/04/2025

VIKOSI VINATARAJIWA KUANZA MECHI YA LEO FOUNTAIN GATE VS YANGA SC

HT : SIMBA SC 1 - 0 STELLENBOSCH FC
20/04/2025

HT : SIMBA SC 1 - 0 STELLENBOSCH FC

Kikosi cha Stellenbosch FC hatua ya nusu fainali dhidi ya simba SC katika uwanja wa Aman complex - Zanzibar STELLENBOSCH...
20/04/2025

Kikosi cha Stellenbosch FC hatua ya nusu fainali dhidi ya simba SC katika uwanja wa Aman complex - Zanzibar STELLENBOSCH FC

OSCARINE MASULUKE
ISMAEL TOURE
KAZIE ENYINNAYA
SIHLE NDULI
ANDRE DE JONG
FAWAAZ BASADIEN (C)
BRENDON THABO MOLOISANE
IBRAHEEM JABAAR
DEVIN CHANDLEY TITUS
LESIBA NKU
THATO KHIBA

Coach Name: STEVE ROBERT BARKER (RSA)

Substitutes

BRIAN MANDELA ONYANGO
UNATHI MDAKA
KHOMOTJO LEKOLOANE
LANGELIHLE PHILI
MOGAMAT ABRAHAMS
SAGE SHANE STEPHENS
SANELE BARNS
ATHENKOSI MCABA
GENINO PALACE

Kikosi cha Simba dhidi ya Stellenbosch FC hatua ya nusu fainali katika uwanja wa Aman complex - Zanzibar
20/04/2025

Kikosi cha Simba dhidi ya Stellenbosch FC hatua ya nusu fainali katika uwanja wa Aman complex - Zanzibar

Address


Telephone

+255675959483

Website

https://youtube.com/@mbagalaonlinetv2652

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbagala TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbagala TV:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share