Matangazo Academy

  • Home
  • Matangazo Academy

Matangazo Academy Jifunze mbinu mpya za
Kutangaza biashara yako Mtandaoni na kupata wateja

We ❤️ Feedbacks
16/07/2025

We ❤️ Feedbacks

WAUZA VYOMBO POST YENU HIIShare na Wenzio
14/07/2025

WAUZA VYOMBO POST YENU HII

Share na Wenzio

We ❤️ FeedbacksBoss baada ya Kufanya Session ikabidi tutesti tu tangazo kwa bajeti ndogoLimeenda vizuri hadi yeye anakwa...
14/07/2025

We ❤️ Feedbacks

Boss baada ya Kufanya Session ikabidi tutesti tu tangazo kwa bajeti ndogo

Limeenda vizuri hadi yeye anakwambia sasa ni muda wake wa Kupiga Helaa 😁🔥🔥🔥

We unasubiri nini kuja darasani ujifunze k**a wenzio ?

DM or call/whatsapp 0627401779 kuweka nafasi yako ya Appointment

Asikwambie Mtu KUTENGENEZA CONTENTS SIO KAZI RAHISIInachukua Muda, Inachosha na Usipokua na Utaratibu au Muongozo HAUTAT...
08/07/2025

Asikwambie Mtu KUTENGENEZA CONTENTS SIO KAZI RAHISI

Inachukua Muda, Inachosha na Usipokua na Utaratibu au Muongozo HAUTATENGENEZA KABISA

Ingawa wote tunajua faida za kutengeneza contents ni zipi

Hivyo kuanzia Leo anza kulichukulia Suala hili k**a INVESTMENT

Utanishukuru baadae

Share post hii na Mwenzio k**a umejifunza Kitu

Cc:

Feedbacks 🔥🔥🔥Real People, Real Results k**a Mnavojionea wenyewe  mambo kwa ushahidiUsiendelee kuhangaika Tena wakati Sis...
03/07/2025

Feedbacks 🔥🔥🔥

Real People, Real Results k**a Mnavojionea wenyewe mambo kwa ushahidi

Usiendelee kuhangaika Tena wakati Sisi tupo

Book Your Session Today

Call/Whatsapp 0627401779

MAUZO FEEDBACKS 🔥🔥🔥🔥AMEJIFUNZA ,KARUSHA TANGAZO NA KAUZA HAPO HAPOUa ambalo lilikaa Dukani kwa Wiki 3 nzima bila kuuzika...
23/06/2025

MAUZO FEEDBACKS 🔥🔥🔥🔥

AMEJIFUNZA ,KARUSHA TANGAZO NA KAUZA HAPO HAPO

Ua ambalo lilikaa Dukani kwa Wiki 3 nzima bila kuuzika

Soma Uone Maelezo yake mwenyewe

Baada ya Kufanya Session ya Mafunzo ya Jinsi ya Kufanya Sponsored Ads na

Mambo k**a haya yanawezekana kabisa 🔥🔥

Book Nafasi Yako Mapema..

Upate Huduma ya Uhakika

Call/Whatsapp 0627401779 au Tuma Dm hapa Instagram

Nitakusaidia na wewe😉

SWIPE LEFT Kuziona Na Upate Maelekezo Jinsi ya KuzitumiaCc:
28/05/2025

SWIPE LEFT Kuziona

Na Upate Maelekezo Jinsi ya Kuzitumia
Cc:

Ukweli Mchungu kuhusu Biashara Mtandaoni👉👉Swipe Usome
28/05/2025

Ukweli Mchungu kuhusu Biashara Mtandaoni👉👉

Swipe Usome

SHARE WITH A FRIEND…MCHEZO WAO UKO HIVI👇Hawa Matapeli Wanajifanya ni Watu wa Kutoka Meta (Customer Support)Watakutumia M...
28/05/2025

SHARE WITH A FRIEND…MCHEZO WAO UKO HIVI👇

Hawa Matapeli Wanajifanya ni Watu wa Kutoka Meta (Customer Support)

Watakutumia Meseji Sjui Account yako imevunja Sheria au ina matatizo

Watakuwekea na LINK ya Kubonyeza

Chonde chonde

Usibonyeze hiyo Link

Watakwambia Ulogin

Na Page yao ikifunguka inafanana kabisaa na Page za INSTA au FACEBOOK

Ukijaza tu Details zako za Kulogin

Watapita na Account yako

Nmewaambia ili Muwe Makini

Na Ukiona Wamekutumia mameseji Yao Whatsapp

JUST IGNORE IT & Wapige BLOCK

Share na Mwenzio apate Ujumbe huu Pia

Usione Sifa kukaa Dukani na Mzigo bila Kupata WatejaUmefungia tu kabatini 😅Alafu Unasema “Nina Nguo nzuri nyinyi”Tunatak...
22/05/2025

Usione Sifa kukaa Dukani na Mzigo bila Kupata Wateja

Umefungia tu kabatini 😅

Alafu Unasema “Nina Nguo nzuri nyinyi”

Tunataka Tuzione

Usisubiri wateja wa kupita tu au wale wale wa kila siku whatsapp

Jiongeze kwa Kufanya Contents na Matangazo Vizuri

Na k**a Unaona Peke yako huwezi Vinakushinda

Karibu tukusaidie

Dm or Whatsapp 0627401779 kupata Msaada zaidi

Oda Zinaendelea Kumiminika Baada ya Mafunzo 🔥🔥🔥Only  Karibuni sanaBook Your Session Today kwa Dm or Whatsapp 0627401779
22/05/2025

Oda Zinaendelea Kumiminika Baada ya Mafunzo 🔥🔥🔥

Only

Karibuni sana

Book Your Session Today kwa Dm or Whatsapp 0627401779

Your Mindset is EverythingUkiamua Kushindwa UtashindwaNa Ukiamua Kuweza…UtawezaThe Choice is Yours 😉
22/05/2025

Your Mindset is Everything

Ukiamua Kushindwa Utashindwa

Na Ukiamua Kuweza…

Utaweza

The Choice is Yours 😉

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matangazo Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share