14/06/2024
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*🌹🌹REJEA SIO LAZIMA MKE ARIDHIE,* Darsa namba (3)
*قال ابن قدامة رحمه الله :*
*(📜) Amesema imam ibnu Qudaamah (rahimahullah)*
*وجملة ذلك , أن زوج الرجعية إذا راجعها , وهي لا تعلم , صحت المراجعة ;*
*Na ujumla wa hilo, hakika ya mume mwenye kurejea, pindi akimrejea mkewe na haliyakuwa yeye hajui, basi itasihi rejea yake*
*لأنها لا تفتقر إلى رضاها , فلم تفتقر إلى علمها كطلاقها ،*
*Kwani hakika yake rejea haifungamani na kuridhia (mke), na wala haifungamani na kujuwa kwake k**a talaka*
*فإذا راجعها ولم تعلم , فانقضت عدتها , وتزوجت , ثم جاء وادعى أنه كان راجعها قبل انقضاء عدتها ,*
*Na pindi mumewe akimrejea haliyakuwa mke hajuwi, na eda yake ikaisha, na akaolewa na mume mwengine, kisha akaja mume wa kwanza na akadai ya kwamba alimrejea mkewe kabla ya kumalizika kwa eda yake*
*وأقام البينة على ذلك , ثبت أنها زوجته , وأن نكاح الثاني فاسد ; لأنه تزوج امرأة غيره ,وتُرد إلى الأول*
*Na (mume) akabainisha ushahidi katika hilo, basi itathibitishwa hakika yake ni mkewe, na hakika ya ndoa ya pili imevunjika, kwani hakika yake kaoa mke wa mtu, na (mke) atarudi kwa mume wa kwanza*
*سواء دخل بها الثاني أو لم يدخل بها ، هذا هو الصحيح , وهو مذهب أكثر الفقهاء*
*Sawa sawa mume wa pili alimuingilia au hakumuingilia, huu ndio usahihi, nayo ni madh'habu ya wengi katika wanawachuoni wa fiQhi*
*منهم الثوري , والشافعي , وأبو عبيد , وأصحاب الرأي ، وروي ذلك عن علي رضي الله عنه .*
*Miongoni mwao, imam Athaury, imam shafy, na Abu ubayd, na watu wa rai, na limepokewa hilo kwa Ally Allah amridhie."*
*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪"المغني" (7/ 411).❫.*
══════ ❁✿❁ ══════
*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
*📡Subscribe my channel WhatsApp*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/E6Zc5ubeFUg8zisCYsvRxS*
*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*
*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote💥*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*