23/11/2022
*ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP*
Leo nawaletea kitu tofauti sana. Ni sabuni, wengi wetu hutumia sabuni za viwandani ambazo zimewekwa magadi, sasa leo nakuletea sabuni ambayo imetengenezwa kiasili na kwa kutumia teknolojia kubwa sana, nzuri sana kwa watoto,wasichana,wavulana,wazee nk
*I: ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP*
Hii sabuni imetengenezwa na:
1)Asali wa nyuki wa mwitu
2)Mafuta ya n**i
3)Mafuta ya mchikichi
4)Majani ya mchaichai
*FAIDA ZA ANATIC SOAP*
1;Inaondoa makovu na mabaka mwilini
2:Inaondoa miwasho,vipele
3:Ni nzuri kuitumia k**a after shave kwa wanaume
4:Huua bakteria kwenye ngozi
5:Inatibu chunusi, upele, harara
6: Nzuri kwa watu wenye mapunye,mafua
7:Inasaidia kukuza nywele na kulinda zisikatike hovyo kwa kuoshea k**a shampoo
8:Inalinda ngozi yako na mionzi ya jua. Nzuri pia hata kwa wale wanaotumia cream kali
9: Nzuri kwa watoto hata awe mchanga
10:Inazuia malengelenge unapokuwa umeungua na maji au mafuta baada ya kupaka povu lake
Wanaoitumia wanajua hii ni sabuni kwa nje lakini kwa ndani ni zaidi ya sabuni kwa kazi zake. Mnunulie mwanao au familia yako leo
Ijaribu leo hakika hutojuta na utapenda uitumie kila siku na kila mara.hii ndio mkombozi wa ngozi yako na matatizo yako.
Inunue Leo kwa ofa
Wahi mapema mzigo umebakia kidogo.
Bofya link hapo chini kwa Order yako
0745000157
https://wa.me/+255657710078