
05/08/2024
Karibu kwenye The Giants, kipindi kinachoangazia safari za mashujaa wakubwa katika tasnia mbalimbali. Tunakuletea hadithi za watu ambao wamepambana, kuvuka vikwazo, na kufanikiwa kuwa majina makubwa duniani. Jiunge nasi tunapochambua safari zao za mafanikio, changamoto walizokutana nazo, na jinsi walivyojenga urithi wao. Hii ni fursa ya kujifunza na kuhamasika kutoka kwa wale waliofanya ndoto zao kuwa kweli. Usikose!