Nicky Meena

Nicky Meena Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nicky Meena, Digital creator, Dar es Saalam, .

19/02/2026

Pierluigi Collina chuma cha Kiitaliano huyu hakuwa mwamuzi wa kawaida alikuwa ni zaidi ya VAR kwa sasa🙌

✍️

19/02/2026

Kila timu lazima kuna mchezaji ambaye kila zoezi lazima alishindwe au abuni zoezi jipya

✍️

19/02/2026

Arsenal wanadondosha alama kwa manyanyaso sana, Leeds, Man Utd, Wolves staili yao ni moja😂

✍️

🚨…..Hadi Arsenal wenyewe hawaamini k**a watakuwa mabingwa🤔Nicky Meena✅
19/02/2026

🚨…..Hadi Arsenal wenyewe hawaamini k**a watakuwa mabingwa🤔

Nicky Meena✅

🚨…Takwimu za Allan Okelo tangu atue Yanga;.Michezo 7 Assist 1Bao 0Michezo 4 ya ligi ya mabingwa Afrika, michezo 2 ya lig...
18/02/2026

🚨…Takwimu za Allan Okelo tangu atue Yanga;.

Michezo 7
Assist 1
Bao 0

Michezo 4 ya ligi ya mabingwa Afrika, michezo 2 ya ligi kuu Tanzania bara ,mchezo mmoja wa kombe la TFF jumla michezo 7.

Shida nini namba hazishawishi na hata kiwango pia kwa mfano mchezo wa leo hakuwa na kiwango kizuri kabisa.

Cc: Nsajigwa Senior

18/02/2026

Chanzo cha yote ni hii shangilia ya Vinicius Jr iliwakera sana mashabiki na wachezaji wa Benfica kumbagua hapo jana.

✍️

18/02/2026

GianLuca Prestianni alipombagua Vini akimuita "Nyani" hali iliyomfanya Vini Jr kuondoka uwanjani na mechi kusimama kwa dakika 10 hapo jana Benfica dhidi ya Real Madrid.

✍️

🚨….Tulikubaliana Kuwa Lamine Yamal ndiye Messi mpya au bado hujaona??🤔🤔Nicky Meena✅
17/02/2026

🚨….Tulikubaliana Kuwa Lamine Yamal ndiye Messi mpya au bado hujaona??🤔🤔

Nicky Meena✅

🚨….Umemtambua mchezaji gani katika picha hii? Nicky Meena✅
17/02/2026

🚨….Umemtambua mchezaji gani katika picha hii?

Nicky Meena✅

16/02/2026

Sasa hapa kosa la bonge ni nini?😂😂😂

✍️

16/02/2026

Vuta picha Joules Kounde angekuwa mchezaji wa Manchester United 😂😂

✍️

16/02/2026

✍️

Address

Dar Es Saalam

Telephone

+255789584198

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nicky Meena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nicky Meena:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share