Nesto Shayo

Nesto Shayo Contents Creator | Entertainment | Ambassador
(1)

26/10/2025

Mchhezaji wa Klabu ya Simba David Kameta Duchu akizungumza baada ya mchezo wa Nzingizini Hotspurs. (Via )

Klabu ya Fountain Gate Princess FC imetangaza kwa huzuni kubwa kifo cha aliyekuwa Kocha Mkuu wao, Noah John Kanyaga, kil...
26/10/2025

Klabu ya Fountain Gate Princess FC imetangaza kwa huzuni kubwa kifo cha aliyekuwa Kocha Mkuu wao, Noah John Kanyaga, kilichotokea usiku wa Oktoba 25, jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, marehemu Kanyaga alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.

Klabu hiyo imetoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, na wote walioguswa na msiba huo mzito.

🕯️ Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen.

Fadlu Davis Kocha mkuu wa Raja Casablanca,  ameendelea kukusanya alama ndani ya ligi kuu nchini Morocco maarufu ka Botol...
25/10/2025

Fadlu Davis Kocha mkuu wa Raja Casablanca, ameendelea kukusanya alama ndani ya ligi kuu nchini Morocco maarufu ka Botola Pro 1.

Kwenye mchezo wa leo amevuna alama tatu kwa ushindi wa goli moja (1) kwa sifuri (0) dhidi ya Olympique Dcheira.

Raja ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi na alama zao 11.

NextMatch ni Wydad Casablanca Vs Raja Casablanca October 29.

Follow na

25/10/2025

Dube hana hadhi ya kucheza Yanga. follow na ||

25/10/2025

Duke abuya ndio Man of The Match. (via ).

25/10/2025

Mchome mapovu anasema, Mwanawamfalme Prince Dube pale azam bado hajaachiwa. (via ).

25/10/2025

Afisa habari wa Klabu ya Young Africans Ali Kamwe akizungumza baada ya Klabu yake kuwafunga Silver Srikers na kufuzu hatua ya Makundi ya ligi ya mabingwa Afrika. nifollow na . (via )

Klabu ya USM ALGER ya nchini Algeria imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrik...
25/10/2025

Klabu ya USM ALGER ya nchini Algeria imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Katika mchezo huo USM ALger wamepata ushindi jumla wa magoli (3) kwa moja (1) dhidi ya Vijana wa AFAD Plateau kutoka Abidjan nchini Ivory Coast.

Ni wazi sasa Chemalone Fondoh na Abdelhack Benchika watashuliriki hatua ya makundi ya michuano hiyo.

25/10/2025

Rais wa Klabu ya Young Africans Eng. Hersi Said amesema wanayotaarifa kubwa kwa wanachama na mashabiki wa klabu hiyo usiku wa leo. Follow na @ (Via )

Club Orlando Pirates Wananusu fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita, wameangukia pua baada ya kushindwa kufu...
25/10/2025

Club Orlando Pirates Wananusu fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita, wameangukia pua baada ya kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo msimu huu kufuatia kipigo cha penati 5-4 dhidi ya St. Eloi Lupopo.

Katika mchezo wa mkondo wa kwanza, Lupopo ilijihakikishia nafasi nzuri kwa ushindi wa mabao 3-0. Hata hivyo, katika mchezo wa marudiano uliopigwa leo mjini Afrika Kusini Pirates walijibu mapigo kwa ushindi wa 3-0, na kufanya jumla ya matokeo kuwa 3-3.

Kwa kuwa hakuna timu iliyokuwa na faida ya bao la ugenini, mchezo ulilazimika kuamuliwa kwa mikwaju ya penati ambapo Lupopo walitamba kwa ushindi wa 5-4, na hivyo kutinga hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika historia yao ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika.

Klabu ya Young Africans imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kuwa...
25/10/2025

Klabu ya Young Africans imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kuwa funga Silver Strikers kwa jumla ya magoli mawili (2) kwa moja (1).

Kwenye mchezo wa mzunguko wa pili uliochezwa Benjamin Mkapa , Magoli ya Pacome Zouzuoa na Dikson Job, yameihakikishia Yanga nafasi ya kufuzu hatua ya makundi.

Timu za Tanzania zilizofuzu hatua ya makundi mpaka sasa ni Azam FC na Klabu Young Africans.

Kikosi Cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya vijana wa Silver Strikers Bashiri na Sportspesa https://bit.ly/MicroFB0...
25/10/2025

Kikosi Cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya vijana wa Silver Strikers

Bashiri na Sportspesa https://bit.ly/MicroFB02

Address


Telephone

+255655177370

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nesto Shayo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nesto Shayo:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share