
24/04/2025
Alpha Records ni kampuni production na distribution. Ni kampuni ya kikristo, inayoendeshwa kwenye misingi na imani ya kikristo. Alpha Records pia ni wauzaji pekee na wasambazaji wa flash drives ambazo ziko ndani ya kasha hapa Tanzania na Zanzibar.
Flash Drive Package hii inaweza ikatumika Kwa:
1. Mahubiri,
2. Mafundisho,
3. Nyimbo za choir
4. Semina
Na kuuzika kanisani, kwenye mikutano na kuwafikia watu wengi. Asilimia 90% ya nyumba za watanzania zina tumia TV ambazo zina flash drive au Radio yenye uwezo wa kucheza flash drive. Ni asilimia 2% tuu ya watanzania wako kwenye mitandao ya streeming k**a Audiomax , Youtube na kadhalika. Wafikie watu wengi zaidi kwa kutumia flash drive package hii.
Kwa sasa tunauza flash drive package ya kuanzia 4gb mpaka 8gb.
Bei ni :
4gb pamoja na kasha lake bei ni 8,600tshs
8gb pamoja na kasha lake bei ni 10,500tshs.
Sokoni utaweza kuuza flash drive hizi kuanzia 10,000 hadi 15,000 na kuendelea. Ukiitaji flash drive package ya ujazo mkubwa zaidi tunaweza tukakuletea.
Tunapokea order za flash drive kuanzia flash 1000 na kuendelea. Karibu mtumishi wa Mungu utoe order yako sasa. Mungu akubariki sana.
Angalizo: Bidhaa hii ina hati miliki, ilikununua au kuagiza na kuuza wasiliana na Alpha Records upate kibali au kupata bidhaa hii.
Wasiliana nasi kwa no: 0757 566 879