29/12/2024
Shakira anaamini kuwa kila binti anastahili nafasi ya kung’aa na kuwa kile anachotamani kuwa. Kwa vipaji vyake vya kipekee na maono yake makubwa, ana ndoto ya siku moja kuwa mfano mzuri wa mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tunapomsaidia mwanamke k**a Shakira, si tu tunambadilishia maisha, bali pia tunaijenga jamii na kizazi chenye matumaini, maadili, na mustakabali bora.
Kwa imani yake thabiti, Shakira ana hakika kwamba bado ana nafasi kubwa ya kufanikisha malengo yake. Kwa maana, “Ndoto zetu ni kubwa kuliko changamoto zetu,” akiamini kuwa kupitia juhudi na msaada wa watu wenye nia njema, siku moja atafika mbali na kuwa chanzo cha matumaini kwa wengine
✍️
_______________________________________________
K**A WEWE NI WANACHUO NA UNA KIPAJI HAKIKISHA UNASHIRIKI
𝗝𝗜𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗪𝗔 𝗨𝗡𝗜 𝗔𝗪𝗔𝗥𝗗𝗦
𝗟𝗶𝗻𝗸 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘀𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗽𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗯𝗶𝗼 👆INSTAGRAM
| @𝘂𝗻𝗶𝗺𝗲𝗱𝗶𝗮𝘁𝘇
Follow | Like | share | save📥
📽