MHT TV

MHT TV EVENTS/ENTERTAINMENT & SPORTS
WhatsApp -0672875654 you tube https://www.youtube.com/

27/06/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Watanzania wasipotoshwe kuhusu deni la serikali na ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu deni hilo amezungumza hayo wakati akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Dodoma , leo tarehe 27 Juni, 2025.

Tufuatilie kwa taarifa zaidi

27/06/2025

RAIS DKT. SAMIA SULUHU AELEKEZA POLISI KUKOMESHA MATUKIO YA WATU KUPOTEA.
RAIS wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ametoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa kazi kubwa na nzuri wanayo ifanya amesema hayo leo jijini Dodoma wakati akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge.

"Hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unao zuiliwa na Jeshi la Polisi ni mkubwa kuliko unao fanyika, kasi ya kuwa baini wa halifu na kuwa fikisha Mahakamani inaongezeka" amesema Rais Samia Suluhu.

Pia amebainisha jambo ambalo bado halijafanikiwa vya kutosha ni ajari za barabarani ambazo zina paswa kutafutiwa muarobaini wake yaani "suluhu ya ajari."

Aidha amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza juhudi katika kukomesha matukio ya Watu kupotea.

Tufuatilie kwa taarifa zaidi

Mousa Camara  Ni  goli kipa anaeongoza kwa ‘clean sheets’  ya   2024/2025Tufuatilie kwa taarifa zaidi MHT TV    Young Af...
27/06/2025

Mousa Camara Ni goli kipa anaeongoza kwa ‘clean sheets’ ya 2024/2025

Tufuatilie kwa taarifa zaidi MHT TV
Young Africans Sports Club Simba SC Tanzania

25/06/2025

Clement mzize 24 akata matumaini ya Simba SC Tanzania kusaka ubingwa wa NBC Premier League Tanzania 2024/2025.

Tufuatilie kwa taarifa zaidi

Young Africans Sports Club Ligi Kuu Young Africans Sports Club

  , half time hakuna mbabe Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC Tanzania mechi inaendelea katika uwanja wa Mkapa...
25/06/2025

, half time hakuna mbabe Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC Tanzania mechi inaendelea katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam.

Follow us for more updates

Ligi Kuu Tanzania Football Federation FIFA Club World Cup

Young Africans Sports Club   wamesema kupitia ukurasa wao kuwa leo ni siku kubwa kwao ."Ni siku kubwa kwa   " kauli hii ...
25/06/2025

Young Africans Sports Club wamesema kupitia ukurasa wao kuwa leo ni siku kubwa kwao .

"Ni siku kubwa kwa " kauli hii ina onesha namna wanavyo jiamini ukizingatia mchezo wa leo ni mchezo wa maamuzi ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC premier league dhidi ya Simba SC Tanzania .

Tufuatilie kwa taarifa zaidi

Ligi Kuu Tanzania Football Federation

Simba SC Tanzania wa thibitisha kuwepo katika mchezo namba 184 wa ligi kuu ya NBC premier league dhidi ya Young Africans...
25/06/2025

Simba SC Tanzania wa thibitisha kuwepo katika mchezo namba 184 wa ligi kuu ya NBC premier league dhidi ya Young Africans Sports Club utakao chezwa saa kumi na moja jioni leo katika dimba la Mkapa jijini Dar es salaam.

Mchezo huu waweza kuupa hadhi ya fainali kwa kuwa leo utaamua nani bingwa wa msimu huu na kombe lita kabidhiwa mubashara uwanjani tofauti na utaratibu ulio zoeleka.

Follow us for more updates TV

Young Africans Sports Club

Simba SC Tanzania mechi ya marudiano dhidi ya RS berkane ita chezwa tarehe 25 5/2025  New amani complex Zanzibar.       ...
19/05/2025

Simba SC Tanzania mechi ya marudiano dhidi ya RS berkane ita chezwa tarehe 25 5/2025 New amani complex Zanzibar.

  Usipoteze tumaini ikiwa una pitia magumu na maumivu katika maisha yako kwa kuwa Mungu yu pamoja nawe.
07/05/2025

Usipoteze tumaini ikiwa una pitia magumu na maumivu katika maisha yako kwa kuwa Mungu yu pamoja nawe.

  Haijarishi ni magumu kiasi gani una Yapitia katika maisha yako amini katika Mungu vumilia maumivu pambana na jipe moyo...
05/05/2025

Haijarishi ni magumu kiasi gani una Yapitia katika maisha yako amini katika Mungu vumilia maumivu pambana na jipe moyo wa ushindi Mungu atakuvusha.

  dakika 45 za Kwanza zime tamatika dimba la Mkapa stadium jijini Dar es salaam mchezo wa Simba sc dhidi ya Yanga sc bil...
19/10/2024

dakika 45 za Kwanza zime tamatika dimba la Mkapa stadium jijini Dar es salaam mchezo wa Simba sc dhidi ya Yanga sc bila kufungana michuano ya NBCPL Leo.

Simba sc 0_0 Yanga

Simba SC Tanzania Young Africans Sports Club NBC Premier league Tanzania Tanzania Football Federation Mwailafu house of talent

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MHT TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MHT TV:

Share