
01/06/2023
“Mchezaji wa mpira ukiona Simba sports inakubitaji changamkia fursa haraka
Simba sio tu timu Ya mpira, SIMBA Ni pepo Ya wachezaji wa africa
Utalipwa vizuri na tutakuheshimu wewe na familia yako
Tutakufanya Uwe na maisha mazuri k**a huamini angalia wachezaji wetu wa Sasa
Usije ukasema sijakwambia utakuja kujuta baadae k**a anavyo juta mwanetu!!”
By Ahmed Ally