Ngoma media

Ngoma media Information

2024 hukupata mchumba wa maisha  ukahadaika na Sura  kumbe ni  ATM badilika mwaka huu .2024 ulilala chumba kimoja na ges...
01/01/2025

2024 hukupata mchumba wa maisha ukahadaika na Sura kumbe ni ATM badilika mwaka huu .

2024 ulilala chumba kimoja na gesi ya kupikia Tafuta hela

2024 ulinyimwa Fursa na unajiona una uwezo usichoke haujakosa umechelewa tu " PUSH "

2024 hukuwahi kujiwekea malengo ya kiasi unachopata na matumizi unayoyafanya " mafanikio yako nayaona mbali sana " Badilika

2024 Ulilazimisha kupendwa Don't Do it mwaka huu ..Chako hutumii nguvu .

2025 : Nawapenda Nyote

Balozi wa jamhuri ya visiwa vya comoro .Dkt .Ahmad El Badoui Mohammed Fakih
11/09/2024

Balozi wa jamhuri ya visiwa vya comoro .
Dkt .Ahmad El Badoui Mohammed Fakih

23/01/2024

Chuki

HALI YA HEWA: Kuanzia saa Tisa usiku wa kuamkia leo Januari 20, 2024 kumekuwa na mvua kubwa inayoambatana na Upepo na Ra...
20/01/2024

HALI YA HEWA: Kuanzia saa Tisa usiku wa kuamkia leo Januari 20, 2024 kumekuwa na mvua kubwa inayoambatana na Upepo na Radi maeneo mengi ya Dar es Salaam na mikoa ya jirani

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ilitoa angalizo kuwa Januari 20 kunatarajiwa kuwa na Mvua kubwa maeneo ya Mikoa ya Lindi, Mtwara, Njombe, Ruvuma na Kusini mwa Morogoro, hivyo kuna uwezekano wa makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa shughuli za kiuchumi

Je, Mdau hali ipoje maeneo ya mtaani kwako?

Hapa visiwani - ni hali ya mawingu na mvua ya rabsharabsa baada ya kunyesha kwa wingi majira ya moja kasoro

Address


Telephone

+255628229665

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngoma media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share