Kijiweni24 Tv

  • Home
  • Kijiweni24 Tv

Kijiweni24 Tv Taarifa mbalimbali za kimichezo! Kwa matangazo ya kibiashara tupigie 0787326406
(1)

JONATHAN SOWAH ASAINI SIMBA SC MIAKA 2 DIAW NA KANTE WATAJWA MBIONI KUJIUNGA NA SIMBA
23/07/2025

JONATHAN SOWAH ASAINI SIMBA SC MIAKA 2 DIAW NA KANTE WATAJWA MBIONI KUJIUNGA NA SIMBA

🚨 Simba SC imelipa 💰 $285,000 kuvunja mwaka mmoja wa mwisho wa mkataba wa kiungo Alassane Kanté na CA Bizertin! 🔥Mkataba...
22/07/2025

🚨 Simba SC imelipa 💰 $285,000 kuvunja mwaka mmoja wa mwisho wa mkataba wa kiungo Alassane Kanté na CA Bizertin! 🔥

Mkataba rasmi umekamilika, atasaini leo jioni baada ya kufanyiwa vipimo vya afya.

🛬 Kanté anatarajiwa kutua nchini leo tayari kuanza maisha mapya ndani ya Msimbazi! 💪

Baada ya Khadim Diaw… sasa ni Kanté — usajili mwingine wa kiwango cha juu kwa kocha Fadlu Davids. ✅

🚨📝 TAARIFA MPYA: Lionel Ateba ana kipengele cha kuachwa (release clause) cha 💰 $1,000,000 kwenye mkataba wake na Simba S...
22/07/2025

🚨📝 TAARIFA MPYA: Lionel Ateba ana kipengele cha kuachwa (release clause) cha 💰 $1,000,000 kwenye mkataba wake na Simba SC.

Klabu ya Al-Tai kutoka Saudi Arabia iliwasilisha ofa ya $400,000, lakini ikakataliwa kwa sababu haikukidhi thamani ya kipengele hicho.

Mazungumzo yanaweza kuendelea endapo watarejea mezani na dau jipya.

🚨 Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya awali na CA Bizertin kwa ajili ya kumsajili kiungo fundi kutoka Senegal, Alassa...
22/07/2025

🚨 Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya awali na CA Bizertin kwa ajili ya kumsajili kiungo fundi kutoka Senegal, Alassane Kanté 🇸🇳✨

Kanté (24) anatarajiwa kuondoka rasmi baada ya misimu mitatu bora akiwa na mwaka mmoja tu uliobaki kwenye mkataba wake. Makubaliano ya mwisho yanawekwa sawa — usajili huu sasa uko hatua za mwisho kabisa! 📑✅

🗣️ Here we go soon…

JAMES SIMBA ALIA NA VIONGOZI WA SIMBA/ ACHUKIZWA NA MOHAMED HUSSEIN KUTIMKIA YANGA SC
21/07/2025

JAMES SIMBA ALIA NA VIONGOZI WA SIMBA/ ACHUKIZWA NA MOHAMED HUSSEIN KUTIMKIA YANGA SC

CHANGAMKIA FURSA!!ENEO LA KAZI NI KIMARA MWISHO!KWA MATANGAZO NJOO DM AU PIGA 0787326406
20/07/2025

CHANGAMKIA FURSA!!
ENEO LA KAZI NI KIMARA MWISHO!

KWA MATANGAZO NJOO DM AU PIGA 0787326406

🚨 Cheick Omar Faye (22) yuko mbioni kujiunga na moja ya  kilabu cha Tanzania!Agentu wake  yupo Tanzania akifanya mazungu...
20/07/2025

🚨 Cheick Omar Faye (22) yuko mbioni kujiunga na moja ya kilabu cha Tanzania!

Agentu wake yupo Tanzania akifanya mazungumzo ya kina na klabu moja ya Tanzania (jina bado halijawekwa wazi) huku pande zote zikilenga kufikia makubaliano kabla ya kuanza kwa pre-season rasmi.

Faye, ambaye amewahi kuzichezea Moghreb Tetouan (Morocco) na AS Fortuna (Cameroon), alijiunga na COD Meknes mwezi Januari. Hata hivyo, mchezaji na kambi yake wako tayari kufungua ukurasa mpya ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara endapo dili litakamilika.

Dili linapikwa kwa siri kubwa…
Tusubiri kuona k**a Tanzania itakuwa kituo kipya cha Faye!

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijiweni24 Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kijiweni24 Tv:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share