Rj News

Rj News KWA MATANGAZO YA BIASHARA , MUSIC PROMO 'PAGE PROMOTION TUCHEKI DM OR👇👇

WhatsApp number 0620621787
(2)

📸📸 Mfalme wa Bongofleva Alikiba Pamoja na Msani Mwenzake Nandy African princess
18/07/2025

📸📸 Mfalme wa Bongofleva Alikiba Pamoja na Msani Mwenzake Nandy African princess

Umeshamtambua ni Msani gani huyu ...?
16/07/2025

Umeshamtambua ni Msani gani huyu ...?

17/12/2024

Nyumba inauzwa Tsh.45,000000 Arubani na Tano Ina vyumba 4 vitatu master Publick choo 1 Mikumbi 2 Majiko mawil ndani na nje Nyumba ina Fensi
Location Kwarara kwangurangwa
Tell:0620621786

Nyumbaina  inauzwa Kwarara KWANGURANGWA Zanzbar Nyumba ipo karibu na barabara ni dakik 5 kufka kituo cha dalala kw kutem...
16/12/2024

Nyumbaina inauzwa Kwarara KWANGURANGWA Zanzbar Nyumba ipo karibu na barabara ni dakik 5 kufka kituo cha dalala kw kutembea kwa miguu usafiri unafika had chini ya nyumba
Sifa za nyumba
Inavyumba 4 vitatu master
Ina majiko 2 ndani na nje
Public choo 1
Store 1
Mikumbi 2
Ina fensi
Bei Million 45000000 Milion Arobani na tano Mawasiliano 0620621787 call or whatsap

😁😆😆😂
21/10/2024

😁😆😆😂

,HAPPY BIRTHDAY TO YOU   MBOSSO KHAN 🎂🎂🎂
03/10/2024

,HAPPY BIRTHDAY TO YOU MBOSSO KHAN 🎂🎂🎂

Kumbe zile Kajala 1 and 2 alikuwa amekopa hela benki😂😂
19/08/2024

Kumbe zile Kajala 1 and 2 alikuwa amekopa hela benki😂😂

Unahisi ngoma yao Mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni itavunja record ya wimbo wa wa kwangwaru   & Diamond Platnumz
20/03/2024

Unahisi ngoma yao Mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni itavunja record ya wimbo wa wa kwangwaru & Diamond Platnumz

 :Mastaa wa Muziki Wa Bongo fleva Nchini Tanzania Diamond Platnumz Pamoja na Harmonize Wamekutana Tena uso kwa uso Baada...
13/03/2024

:Mastaa wa Muziki Wa Bongo fleva Nchini Tanzania Diamond Platnumz Pamoja na Harmonize Wamekutana Tena uso kwa uso Baada ya kupita Takrbani Miaka Mitano Tangu Harmonize alipotoka katika lebo ya Wasafi 2019 ,Wawili hao Wamekutana kwenye Iftar iliondaliwa na Rais Samia "Ikulu Hapo Usiku wa Jana .

/

📷Picha ya pamoja Wanamuziki Zuchu &Nandy ♥️♥️🇹🇿
09/03/2024

📷Picha ya pamoja Wanamuziki Zuchu &Nandy ♥️♥️🇹🇿

Picha 📷 ya pamoja Harmonize na Mpenzi wake Poshy Queen🔥🔥
08/03/2024

Picha 📷 ya pamoja Harmonize na Mpenzi wake Poshy Queen🔥🔥

 Staa wa muziki  ametoa shukrani kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumuita katika ofisi zake na kumpa maelekezo ...
08/03/2024


Staa wa muziki ametoa shukrani kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumuita katika ofisi zake na kumpa maelekezo ya sheria na kanuni huku akikiri kosa lake lililotokea Februari 24 mwaka huu wakati wa tukio la Fullmoon Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Inadaiwa kuwa alitoa matamshi na kuonyesha ishara ambazo zilichukuliwa kuwa kinyume na maadili.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rj News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rj News:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share