Busati Tv

Busati Tv HELLO GUYS,
WELCOME TO OUR Page. Busati TV
(2)

BUSATI TV


On this page you will get the movies update, review, upcoming movies update, fuul movies, comedy and the videos about best movies on bongo movies .........


Hope you guys support our page....

Big shout out to my newest top fans! 💎 Lvbeiby Blessing, King Pharaoh, Demta jeck, Janeth jeniph, Latifa Latifa, Liliani...
19/07/2025

Big shout out to my newest top fans! 💎 Lvbeiby Blessing, King Pharaoh, Demta jeck, Janeth jeniph, Latifa Latifa, Liliani Twipa, Pri Sca, Bizaway Jori, Mansuly Swedd, Joyeuse Kanyere, Belle kiss BL , Neema Ema Ema, Fatuma Simoni, Esther Jose, Erick Ponda, Dorcas Kwamboka, Pheobe Nafula, Lucy Chagwi, Sharon Nenoh, Mbutotwe Mwakibete, Saimo Gk Khapoya, Sultan Wa Mbk, Kaimu Mohamed, Octavian Oscar, Nasra Kimaro, Eric Chacha, Judy Bright, Dianah Lucy, Aline Asha Luzenga, Musa Bashekere, Mary Nzowa, Hidaya Hasan, Sikujua Mathias, Mamake Bravin, Veroh Verah, Swaum Maulid, Jay Ram, Charles Joseph, Celestina Mwagandi, Sãlêh Mwachala, VI Shally, Carolyne Caro, Pascaline Ruba's Namutunda, kelvoooh kelvooh, Patrisia Shonza, Lucy Mlambya, Michael Mumbere Kihumba, Jovinary Jovinary Skudhani, Lwinga Nsajigwa, Maggie Mipango

Drop a comment to welcome them to our community,

Je Tayari umeshatazama Maisha episode ya tatu?
18/07/2025

Je Tayari umeshatazama Maisha episode ya tatu?

Unatarajia nini kutoka kwa zuu katika tamthilia ya Maisha?
18/07/2025

Unatarajia nini kutoka kwa zuu katika tamthilia ya Maisha?

18/07/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Masamo Renide Pius, Sarah Sandra, Rigobert Furahisha, Cadeau Mutunzi, Kibasumba Desire Murekatete Nyabirori, Zawadi Mwajuma, Francis Mukunzu, Baba Shaddy, Elizabeth Osindo, Amani Ahmed, Samwel Sitta, Anthony Masha, Dennis Wafula, Nick Mutunga, Sankel Karanja, Haji Kitomondo, Erasto Mvella, Renson Mwarambe, Byronne Chemoss, Festo Manyuka, Thierry Waziwazi, Methode Bankumukunzi, Philipo Wiliam, Sweet Beib, Alimasi Kwaba Daudi, Monicien Mputu, Olivier Nsabimana, Charlesaudax Kato, Mohamedy Survival, Jenaither Mkalawa, Gipson Kip'z, Dickie Mwango, Antony Emmanuel Mwamboma, Mashaka Magembe Maiku, Somo Hamza, Anastazia Shuka, Antoni Kisoli, Oscar Misigaro, Mbwambo King Juniour, Meshack Mathayo, Kenneth Xwaqqy, Moshi Magangala, Espoir Ally Fanga Soni, Steven Bakari, Josphat Waruru, Nasho Bulimo, Mwanamolo Kambula, Joram James, Kiptiroch Robert, Marcos Roho

https://youtu.be/Kv7WBmoNSpI*MAISHA EPISODE 03*
18/07/2025

https://youtu.be/Kv7WBmoNSpI

*MAISHA EPISODE 03*

🎬 MAISHA – Hadithi ya Mapenzi, Usaliti na Maumivu Ya Ndani Ya Ndoa.Katika ulimwengu wa "Maisha", hakuna kilicho rahisi. Ni tamthilia inayochunguza undani wa...

https://youtu.be/gBE2aMkRIqs*MAISHA EPISODE 02*
17/07/2025

https://youtu.be/gBE2aMkRIqs

*MAISHA EPISODE 02*

🎬 MAISHA – Hadithi ya Mapenzi, Usaliti na Maumivu Ya Ndani Ya Ndoa.Katika ulimwengu wa "Maisha", hakuna kilicho rahisi. Ni tamthilia inayochunguza undani wa...

15/07/2025

Mpangaji siyo mwenye nyumba, lakini kelele k**a yeye ndo alijenga nyumba nzima!
😤 Kila siku vurugu, maneno juu ya maneno, matusi k**a kodi hawajachelewa!
🤣 Uswazi hauboji! Tamthilia ya inawafichua wapangaji wakorofi k**a ilivyo!
🎬 Angalia Episode mpya sasa kwenye Busati TV

13/07/2025
I've just reached 55K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏...
13/07/2025

I've just reached 55K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏🤗🎉

https://youtu.be/8t6Edc27C6Q?si=AcUKnkah0HkN-w12🎬 MAISHA | Episode ya Kwanza – Siri, Usaliti na Mapenzi YasiyotimiaKai a...
13/07/2025

https://youtu.be/8t6Edc27C6Q?si=AcUKnkah0HkN-w12

🎬 MAISHA | Episode ya Kwanza – Siri, Usaliti na Mapenzi Yasiyotimia

Kai amechoka kupambana kimya kimya...

Zaidi ya miezi mitatu hajabahatika kupata haki yake ya ndoa.

Kwakuwa alikuwa na safari siku inayofuata, anaomba angalau waagane kwa mapenzi na Mkewe. Lakini Dory anakataa. Anasema hayuko sawa.

Wakati wanazozana kwa sauti chumbani, Zawadi – dada wa kazi – alikuwa anapita koridoni, akasikia maongezi hayo na kusogea taratibu kwenye mlango wa chumba kusikiliza… akiwa haamini masikio yake.

Upande mwingine wa jiji, Jordan (Kijana Mtanashati) anafurahia mapenzi na mpenzi wake Keyna. Huku Dory naye akiwa na siri nzito – tangu ajuane na Jordan, hajisikii kabisa kushiriki tendo la ndoa na mumewe Kai kwa sababu ya Jordan ambaye muda wote alikuwa akitazama picha zake kupitia simu. Dory anampigia Jordan, lakini simu haipokelewi na kumfanya Dory kuwa na hofu na Mashaka dhidi ya Mchepuko wake.

Kai akiwa peke yake sebuleni, anasongwa na mawazo: Maswali kadhaa yanagonga katika kichwa chake kuhusu ndoa yake na kujikuta anakosa majibu,
machozi ya ndani yanambembeleza alale kwenye sofa.

Zawadi anamuona amezama usingizini – na kwa huruma, anarudi ndani, anatoka na shuka na kumfunika taratibu. Lakini… Dory anatokea na kuona kila kitu. Kimya kikubwa kinatawala.

Zawadi anapotaka kuondoka, ghafla Kai anasema:
“Nakupenda…”
😳 Zawadi anastuka na kuduwaa!
Je, alimwambia nani? Dory atakaa kimya? Au mlipuko wa hisia uko njiani?

🕵️ Usiku mmoja unaweza kufichua siri iliyofichwa kwa miaka mingi...

💔 Mapenzi hujenga… lakini usaliti hubomoa kwa kasi!

👉 Tazama sasa Episode ya 1 ya Tamthilia yako mpya pendwa –
📺 MAISHA - Episode 1 | Busati TV

🔔 Subscribe channel yetu Busati TV ili usipitwe na visa zaidi kila siku!

Address


Website

https://youtu.be/Z1qQXJBmHL0?si=LbbeGxKT2ICgTARM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Busati Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share