🚨CHAMA NA YANGA NDO BASI TENA.
Baada ya kumalizika kwa mkataba wake
Clabu ya Yanga haitamwongezea mkataba mwingine. Hivyo basi Chama yupo huru kwenda sehemu nyingine kutafuta changamoto nyingine.
28/02/2025
VIWANJA NBC PREMIERE LEAGUE HALI TETE:
Ligi yetu tunasema ni ya nne AFRIKA lakini viwanja vyetu haviakisi kabisa hayo mafanikio. Picha hio ni mchezo wa mchana huu kati ya Tabora utd na Dodoma Jiji. Tabora wapo mbele kwa bao moja lkn jakustahajabisha ni hali ya uwanjwa kukosa sifa lakini mpira unachezwa hivo hivo.
24/02/2025
Waliofurahi sio mashabiki wa azam?😁😁😁
20/02/2025
🚨DROO HATUA YA ROBO FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA IMEKAMILIKA
20/02/2025
itaanzia ugenini dhidi ya Al Masry ya Misri. Kwa maoni yako Mnyama ataroboa?
Be the first to know and let us send you an email when Tz football news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.