Chris. kaka wa thamani

  • Home
  • Chris. kaka wa thamani

Chris. kaka wa thamani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chris. kaka wa thamani, Broadcasting & media production company, .

20/07/2025

Je ni kweli kwamba mikojo ya wanyama Huwa ni dawa !?? Mfano hapo kwenye picha mfugaji akiegesha kichwa chake na ng'ombe akimkojolea kichwani .
Karibu na maoni yako yatasoma vema.

17/07/2025

Wengi husema mtoto kucheza na nyoka hawezi kupata madhara .je kwako mdau Kuna nguvu gani ipo kati ya nyoka na mtoto mpka Hali inakuwa hivi ilivyoo .!? Tutasoma na ujumbe wako murua .

13/07/2025

Dominika ikawe ya heri kwako .

10/07/2025

Je baadhi ya Mila na desturi zinazoweza kuhatarisha maisha ya watu ziendelee au zipuuzwe !! Maana wengine huatarisha maisha Yao kwa mambo ya sifa za aina hiyoo piaa .!??
Karibu mdau wa Redio na Television tufahamishane hili kwa ujumbe wako nitakaousoma hewani !!

06/07/2025

Hata nchi za wenzetu pia wapo waporaji wajanja sana ila Cha msingi usiishike simu wakati upo kwenye dirisha la gari au kwenye folen itakuwa si Mali yako .
Tufanyeje ili Hali na Tabia hizi ziishe .
Maoni yako ni muhimu kupitia Tv na Redio.

02/07/2025

Upepo mkali na kimbunga ndani ya Alabama umesababisha watu wengi kupoteza makazi na baadhi kufariki .. Hali hii hutokea mara kwa mara katika nchi za wenzetu na bado wao husimama Tena kwa kujenga miundombinu .!!?
Je African inapaswa kujikinga kwa njia gani!?
Karibu kwa maoni kupitia Redio Tumaini. Tv Tumaini

27/06/2025

Je ni haki kwa watoto kufanyishwa kazi za watu wazima !? Afrika watoto wanapewa kipaumbele katika kulindwa na kupewa haki zao ipasavyo !??

25/06/2025

Mama mara baada ya kusemwa na wanae wa k**e kaamua kuwatisha k**a amechoka kuishi nao na kununua mafuta ili ajichome .Sasa wao wakaamua kuwasha moto kabisa ili wamchome mama kakimbia .
Maoni yako muhimu je kwanini watoto wanaweza kutisha wazazi wao mpka maamuz magumu kwa wazazi hutokea!??

22/06/2025

Heri kwenu kwa Dominika hii ya sherehe Mwili na Damu ya Bwana Yesu kristo.

15/06/2025

Bado tutapiga kelele juu ya wazazi wetu popote walipo .k**a wapo hai Mungu awape baraka na k**a amewachukua Mungu awape pumziko la milele . Leo ni zamu ya Baba . Mpende na mthamini Baba siku zote za maisha yako . Baba ni nguzo imara ya maisha yako pia .
Happy father's day. 💕

13/06/2025

Ndege iliyokuwa imebeba abiria wapatao 242 ya nchini India ambayo iliruka kutoka Mji wa Ahmedabad kuelekea London imedondoka na kulipuka katika mji wa Ahmedabad, India Juni 12, 2025.

Ndege hiyo ilishika moto mara tu ilipoanguka huku Sababu za ajali hiyo zikiwa bado hazijajulikana.

13/06/2025

NCHINI INDIA-Hali ilivyokuwa ndani ya ndege muda mfupi kabla ya kuanguka na kulipuka katika Jiji la Ahmedabad magharibi mwa India na kuua watu 241 huku Mwanaume 1 pekee ndiye aliyenusurika wakati ndege hiyo ikitokea India kwenda Londan Uingereza

Address


Telephone

+255688485558

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chris. kaka wa thamani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share