Leo Ni Leo

Leo Ni Leo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Leo Ni Leo, Digital creator, .

Join page yang kwetu ni  vibes   za biashara             ゚  📻
25/04/2026

Join page yang kwetu ni
vibes

za biashara

゚ 📻

22/04/2026

1. Je ni sawa mwanaume kumwachisha Mke wake kazi??

K**a ndio kwa nini, na k**a Hapana kwa nini??

Ukweli ambao watu hawasemi…Ujauzito unaweza kubadilisha mahusiano yako Baadhi ya wanawake hupitia: • kukosa attention • ...
18/04/2026

Ukweli ambao watu hawasemi…

Ujauzito unaweza kubadilisha mahusiano yako

Baadhi ya wanawake hupitia:
• kukosa attention
• mabadiliko ya hisia
• kutoelewana na Mwenza

Na hii huleta stress kubwa.

Wewe umeona mabadiliko gani kwenye mahusiano yako? 👇

Huenda page hii shine tena, follow page hii sasa ili kujifunza na kuburudika

ILA MASHEMU SHEMU🙌🙌🙌🙌🙌NIMETUBUSOMA MWENYEWEMamu yamenikuta na Mimi nimegundua mumewangu kaoa kabisa na Ana watoto wawili...
18/04/2026

ILA MASHEMU SHEMU🙌🙌🙌🙌🙌NIMETUBU
SOMA MWENYEWE

Mamu yamenikuta na Mimi nimegundua mumewangu kaoa kabisa na Ana watoto wawili wamefatana mmoja Ana 3yrs Huyu mwingine ana mwaka

Nimegundua mumewangu kalazwa alipata ajali sasa mm muda wote Niko hosp Ila kuna mdogoake muda wote ananiambia shemej kapumzike tu nyumban mm nitakaa nae Yaan nikileta chakula fasta ananiambia Shem kapumzike MIMI nitakaa nae na alikuwa na mchezo ananiuliza shem
Unakuja saa ngapi

Sikuwahi kugundua kitu Ila mm asubuh huwa siendi kwa sababu naenda kazn kwaiyo KUNA WiFi yang anadai anakuja yeye kupeleka chakula

Sasa mm Jana sijaenda kazin ilikuwa niende semina sijaenda nikasema niende hosp mapema nimekuta wameshikiana na mwanamke amemshikia magongo K**a anamtembeza

Nimewakuta kwenye korido hosp wao hawakuniona nikashangaa Huyu dada simjui Mara kwa nyuma anatokea shemej yangu kambeba mtoto ana miaka k**a mmoja hv

anamuambia Shem mchukue mtoto a Ngoja nikusaidie mana alikuwa analia wakasaidiana wakaingia wodini.....MIMI nikatembea nakaribia hod niingie mlangon nasikia mtoto anamlilia babaake mama anamwambia baba anaumwa hawez kukubeba,nikatokea wote walishangaa na mumewangu unaniona kabisaaa kimemshuka na shemeji yangu

Nikauliza tu kinaendelea nini ,Yule mtoto hakuacha kulia kumlilia babaake,
Yule mwanamke akasema MIMI mke mwenzio mumeo kanioa na tuna watoto kwani hajakuambia na hakuniambia mumeo kaniambia mumewetu Yaan ni K**a alijiandaa na shar nikamshika mumewangu fulana lake ndo Yule shemej akaja kunitoa Yaan hata kuongea nilikuwa siongei nimemshika tu namtikisa na nes akaja pale mm nikaamua kuondoka,

sijaenda hosp mpaka Leo mumewang anapiga simu na ananitumia msg nimsamehe hakunambia K**a kaoa Ila Alipanga kunambia,

Fikiria mamu miaka yote Ndio aniambie alipanga kuniambia lin wakt Ana watoto tayar,na shemej yangu mnafiki wa mwisho na hapa kwenye page yako yupo,

Shemej yangu mm anakaa dukan kwetu Yan Nimemfanya K**a nduguyangu kabisa mm ndie nilimuambia mumewang na tukafungua hiyo biashara,

Muda wote walikuwa wananiona K**a zimwi tu,sielew nifanye nini mana hata machoz Haya nitoke na mwanaume Mimi sijazaa nae hata mtoto mmoja,

Walikuwa wananiambia ni dadaake analeta chakula kumbe mwanamke wake dadaake alikuwa anakuja tu na kutoka na kwao wote wanajua niliblok mimi tu

Naomba nishauriwe nifanyaje

MIMI SASA:hapo alirudi nyumban muambie tu akauguzwe na mkewe mpk apone kwanza 😩😩

Makosa 5 wajawazito wengi hufanya miezi ya mwisho bila kujua…>Kusikiliza hadithi za kutisha>Kukosa maandalizi ya hospita...
17/04/2026

Makosa 5 wajawazito wengi hufanya miezi ya mwisho bila kujua…

>Kusikiliza hadithi za kutisha
>Kukosa maandalizi ya hospital
>Kupuuza mental health
>Kutokula vizuri
>Kukaa na mawazo peke yao

Makosa haya yanaongeza stress bila sababu.

Ni lipi unahisi linakugusa zaidi? 👇

Follow page hii ili uendelee kujifunza

Ukweli ambao wajawazito wengi hawaongei hadharani…>>>Wanaogopa kujifungua.Wanacheka mbele za watu…lakini ndani wana masw...
16/04/2026

Ukweli ambao wajawazito wengi hawaongei hadharani…

>>>Wanaogopa kujifungua.

Wanacheka mbele za watu…
lakini ndani wana maswali mengi:
• Nitavumilia uchungu?
• Nitajifungua salama?
• Mtoto wangu atakuwa sawa?

Ukweli ni huu…
Hofu hii ni ya kawaida.

Lakini haupaswi kuibeba peke yako

Ni kitu gani kinakupa hofu zaidi kipindi hiki?
Comment hapa chini 🤰👇

YA UJAUZITO KWA WAJAWAZITO WA MIMBA YA UMRI WA MIEZI 1,2,3

NI MUHIMU SOMA MPKA MWISHOWajawazito wengi hukosea hapa…Unahisi uchungu umeanza, una panic…lakini ukifika hospitali unaa...
14/04/2026

NI MUHIMU SOMA MPKA MWISHO

Wajawazito wengi hukosea hapa…

Unahisi uchungu umeanza, una panic…
lakini ukifika hospitali unaambiwa:

“Bado sio uchungu wa kweli.”

Sasa unatakiwa ujue tofauti hii mapema…

UCHUNGU WA KWELI vs UONGO

1. MAUMIVU YAKE

Uchungu wa kweli:
Maumivu yanaongezeka taratibu
Hayapotei
Yanakuwa makali kadri muda unavyokwenda

Uchungu wa uongo:
Huja na kuondoka
Wakati mwingine unapumzika yanapotea

2. MUDA WAKE

Uchungu wa kweli:
Unakuja kwa interval (mfano kila dakika 10, 7, 5…)
Unakuwa consistent

Uchungu wa uongo:
Hauna mpangilio
Unakuja bila ratiba

3. UKITEMBEA AU KUPUMZIKA

Uchungu wa kweli:
Haupungui hata ukitembea au kupumzika

Uchungu wa uongo:
Unaweza kupungua au kuisha kabisa

4. ENEO LA MAUMIVU

Uchungu wa kweli:
Huanzia mgongoni hadi mbele tumboni

Uchungu wa uongo:
Mara nyingi hubaki mbele tu

Mama mjamzito…

Sio kila maumivu ni ishara ya kujifungua.

Lakini pia usipuuzie dalili.

👉 Jifunze mwili wako
👉 Jiandae mapema
👉 Usisite kwenda hospitali ukiwa na mashaka

Wewe uko mwezi wa ngapi kwa sasa?

Na umewahi kuhisi dalili k**a hizi?

Au k**a uliwahi kujifungua, ulijuaje huu ndio ulikuwa uchungu wa kweli?

Comment hapa chini 👇

07/04/2026
Kabla ya mtoto kuzaliwa ni vizuri uwe umejiandaa kwa:✔ Nguo za mtoto✔ Fedha ya dharura✔ Mahitaji ya hospitali✔ Diapers✔ ...
17/03/2026

Kabla ya mtoto kuzaliwa ni vizuri uwe umejiandaa kwa:

✔ Nguo za mtoto
✔ Fedha ya dharura
✔ Mahitaji ya hospitali
✔ Diapers
✔ Msaada wa kihisia

Watu wengi wanajikuta wanahangaika dakika za mwisho.

Kuna mjamzito mmoja aliwahi kuniambia:“Nilikuwa na mimba ya miezi 7 lakini nilikuwa na hofu sana, sikuwa na mtu wa kunio...
15/03/2026

Kuna mjamzito mmoja aliwahi kuniambia:

“Nilikuwa na mimba ya miezi 7 lakini nilikuwa na hofu sana, sikuwa na mtu wa kuniombea wala kunishauri.”

Wanawake wengi wanapitia hali hii kimya kimya.

TOENI MAPISHI MBALI MBALI YA BAMIA WAKINA MAMA KIJA TULE BAMIA ZA KUTOSHASomething for everyonee
30/08/2025

TOENI MAPISHI MBALI MBALI YA BAMIA WAKINA MAMA KIJA TULE BAMIA ZA KUTOSHA
Something for everyonee

Address


Telephone

+255743584274

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leo Ni Leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share