Ambokile Francis

  • Home
  • Ambokile Francis

Ambokile Francis Ungana Nasi, Njoo Tushauriane Tupeane Ujuzi Mpya K**a Vijana, Usisite Kuwasiliana Nasi.

08/06/2025

Pesa sio kila kitu katika maisha.
Maisha hayajakamilika kwa mtu yeyote.
Kuna mwenye nyumba hana gari.
Kuna mwenye gari hana watoto.
Kuna mwenye watoto hana pesa.
Kuna mwenye pesa hana afya.
Kuna mwenye afya hana kazi.
Kuna mwenye vyote lakini hana amani wala furaha.
MSHUKURU MUNGU KWA KILA HALI ULIYONAYO.

CODE
05/04/2025

CODE

K**ati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imebaini changamoto ya mtandao na ukosefu wa vitendea kazi kwa wa...
08/02/2025

K**ati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imebaini changamoto ya mtandao na ukosefu wa vitendea kazi kwa watumishi wa umma waliopo vijijini, hali inayowakwamisha kutumia mfumo wa kupima utendaji kazi wa watumishi (PEPMIS) ambao sasa unajulikana k**a e-Utendaji.

Februari 5, 2025, Mwenyekiti wa K**ati hiyo, Dkt. Joseph Mhagama, amesema changamoto hiyo inasababisha baadhi ya watumishi kushindwa kujaza taarifa zao kwa wakati, hivyo kushindwa kufikia viwango vinavyohitajika.

Kutokana na hilo, Bunge limeazimia kuwa matumizi ya PEPMIS yaendane na utoaji wa vitendea kazi na kuboreshwa kwa mtandao katika maeneo ya vijijini. Pia, Serikali ifanye tathmini ya mfumo huo na kutatua changamoto zilizojitokeza tangu kuanza kwake. Wabunge wameikubali na kupitisha maazimio ya k**ati hiyo likiwemo hilo la PEPMIS.

Kwa Mujibu wa Utafiti wa Jarida Moja Linashughulikia mahusiano inasemekana kuwa "Baada ya kuachana , 80% ya wanawake hui...
04/02/2025

Kwa Mujibu wa Utafiti wa Jarida Moja Linashughulikia mahusiano inasemekana kuwa

"Baada ya kuachana , 80% ya wanawake huingia kwenye uhusiano na mwanaume ambaye tayari alikuwa akizungumza naye wakati yupo bado kwenye mahusiano na wewe."

Na haichukui hata wiki, unaachwa leo kesho kutwa yupo na mwingine!! 😪

STORI YA KUCHEKESHA KWA UFUPI KATIKA PICHA 🤣🤣🤣🤣🤣SHUKA NAYO..
04/02/2025

STORI YA KUCHEKESHA KWA UFUPI KATIKA PICHA 🤣🤣🤣🤣🤣

SHUKA NAYO..

Mtangazaji: Ng’ombe wako hutoa maziwa kiasi gani?  Masai: Yupi, yule mweusi au mweupe?  Mtangazaji: Yule mweusi.  Masai:...
31/01/2025

Mtangazaji: Ng’ombe wako hutoa maziwa kiasi gani?

Masai: Yupi, yule mweusi au mweupe?

Mtangazaji: Yule mweusi.

Masai: Lita mbili kwa siku.

Mtangazaji: Na yule mweupe?

Masai: Lita mbili kwa siku.

Mtangazaji: Wanalala wapi?

Masai: Yule mweusi au mweupe?

Mtangazaji: Yule mweusi.

Masai: Kwenye banda la ng’ombe.

Mtangazaji: Na yule mweupe?

Masai: Kwenye banda la ng’ombe pia.

Mtangazaji; Ng’ombe wako wanaonekana kuwa na afya nzuri... Unawalisha nini?

Masai: Yupi... yule mweusi au mweupe?

Mtangazaji: Yule mweusi.

Masai: Majani.

Mtangazaji: Na yule mweupe?

Masai: Majani.

Mtangazaji: (Akiwa amekasirika) Mbona unaendelea kuuliza k**a ni mweusi au mweupe ilhali majibu ni yale yale?

Masai: Kwa sababu yule mweusi ni wangu.

Mtangazaji: Na yule mweupe?

Masai: Ni wangu pia.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

31/01/2025

Ukisikia stori mbaya kuhusu mimi, elewa kuna wakati nilikuwa mwema kwa hao hao lakini hawatakwambia Wema Wangu Kwao.

Hii ni picha ya hivi karibuni iliyozua gumzo mitandaoni , Msanii kutoka Naija Ayra Star mwanamuziki huyu maarufu wa Nige...
31/01/2025

Hii ni picha ya hivi karibuni iliyozua gumzo mitandaoni ,

Msanii kutoka Naija Ayra Star mwanamuziki huyu maarufu wa Nigeria anasema hajawahi kutana na mwanaume kimwili ila mashabiki zake wamekuwa na wasi wasi na maendeleo ya kifuani wanaamini kuna mtu anapita kimya kimya.

Nini Maoni Yako.

Mashangazi wa miaka ya 1995 mpaka 2002
30/01/2025

Mashangazi wa miaka ya 1995 mpaka 2002

25/01/2025

"Usilie Juu Ya Kile ambacho huna; Tumia Vizuri Kile Ulichonacho" Wahenga walinena; Usiache Mbachao Kwa Msala Upitao

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKWENDA KUNUNUA WANAWAKE WANAOJIUZA (DADA POA)Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa ur...
23/01/2025

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKWENDA KUNUNUA WANAWAKE WANAOJIUZA (DADA POA)

Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi kusemwa hadharani.

Lakini leo nitayasema kwa uchache kwa nia ya kujenga na wala sikusudii kuhamasisha uzinzi wala biashara hiyo

1. Usiende na nguo ambazo unazitumia katika shughuli zako za uzalishaji, iwe ni kazi ya kuajiriwa au kujiajiri. Na k**a utaenda nazo basi ukimaliza usizitumie tena katika shughuli zako hizo

2. Usiende na pesa nyingi ikiwa utaenda katika makazi yao. K**a bei ya kumnunua ni Tsh 5,000 basi nenda na walau 10,000 tu

3. Usifike na kuchagua papo hapo. Bali fika na usimame umbali kidogo utakaokuruhusu kuwaona vizuri na kuchagua umtakae. Usiwakaribie kabla hujachagua ukiwa mbali.

4. Chagua malaya ambaye ngozi yake bado inanuru, pia zingatia umri wake usiwe mdogo sana wala usiwe mkubwa sana.

5. Usimuulize ulize maswali personal, wala usiombe namba zake za simu ikiwa ndio mara yako ya kwanza au ya pili kupata huduma yake.

6. Bila shaka hatakuruhusu kumnyonya romance, labda utoe dau kubwa. Hata uvutiwe naye kwa kiwango kipi, kamwe usikutanishe mdomo wako na wake, wala ulimi wako na wake.

7. Usiwe na vitu vingi na wala usivue suruali yote wakati wa tendo (short time) Na K**a umemchukua kwa full time ili umtumie usiku mzima. Basi asubuhi isikukute naye kahaba huyo. Hakikisha unaondoka kabla jogoo wa asubuhi hajawika au aondoke kabla ya jogoo wa alfajiri hajawika

8. Usimpeleke malaya katika geto au nyumba yako unayoitumia wewe na mkeo, wanao wakuwazaa au ndugu zako.

9. Usimdhulumu malaya malipo yake. Mpe kadiri ya mapatano yenu mlivyoelewana

10. Usitumie ulimi wako kumlamba mahala popote malaya

11. Usionyeshe ubora wa nguvu zako Kwa malaya pindi ufanyapo naye mapenzi. Kwa maana huwezi shindana na kahaba, na wala huwezi onyesha nguvu zako kwake. Utakuja ujifie

12. Usitumie Dawa za kusisimua kuongeza nguvu za kiume au urijali ufanyapo mapenzi na Kahaba.
Huwezi pata sifa popote Kwa kufanya hivyo.
Ni afadhali utumie mbinu hizo kwa mkeo wa ndoa. Utasifiiwa na hakuna atakayekulaumu.

13. Usiogope magonjwa ya zinaa K**a UKIMWI n.k ufanyapo mapenzi na Kahaba isipokuwa ogopa dhambi ya uzinzi unayoifanya.

14. Usikae chini alafu kahaba aje juu yako, bali wewe ndio uwe juu Kwa mitindo yote mtakayoitumia.
Kwa sababu mwanaume ndiye anapaswa kuwa juu. Na K**a kuna mwanamke anayestahili kuwa juu basi ni Mkeo uliyemuoa ukamuacha nyumbani.

15. Utakapofika mshindo, usiache shahawa zako kwenye kondomu kiholela. Ikiwezekana ondoka nazo ukazitupie mbele Kwa mbele, uwa wanazitumia kwenye uganga wa kienyeji kuvutia Watu madukani huku wewe unafirisika hela haikai mfukoni.

16. Usiwekeane ahadi na nadhiri na malaya. Usimuahidi ahadi yoyote kwa maana wengi wao wamejawa na hila za falme za giza

17. Usiguse Jambo lolote nyumbani kwako utakaporudi kabla haujajitakasa.
Usimkumbatie Mkeo, wala watoto wako, wala wajukuu wako utokapo kufanya uzinzi na kahaba

18. Usije ukajisahau ukazaa na malaya ilhali unajua unamke.

19. Usifanye mapenzi na malaya taa zikiwa zimezimwa, k**a huna D mbili huwezi kuelewa hapa 😂

20. Usifanye mapenzi na malaya ukiwa haupo timamu kiakili, aidha ukiwa umelewa pombe au kutumia vilevi vingine vinavyoathiri ubongo

21. K**a vile usivyomjua vizuri huyo malaya nawe asikujue vizuri.
Jitahidi kudanganya karibu kila kitu hasa mambo yanayohusu familia yako, na kazi yako.

22. Usiende kununua malaya k**a hujiwezi Kwa self-defence na kupigana. Hii itakusaidia K**a itatokea dharura za yeye kukufanyia uhuni kwa kukuuza Kwa ving'asti kwa kukusingizia haujamlipa au umemlipa Pungufu ilhali ulimlipa mlivyokubaliana

23. K**a amekufurahisha Sana unaweza mpa bonus Kwa kuifanya roho yako ijisikie Raha.

24. Ikiwa umenunua malaya kwa Tsh 30,000/= basi hakikisha NYUMBANI siku hiyo umeacha mara mbili ya hiyo

25. Ikiwa utaundiwa zengwe na kuk**atwa na huyo kahaba basi suluhisha uwezavyo ishu isifike nyumbani kwa familia yako.

Mwisho usinunue malaya eneo ambalo ni mbali na barabara. Eneo ambalo limejitenga sana usiende kununua, utakuja kunishukuru

K**a hakuna ulazima wa kununua Malaya mwaka huu nakushauri acha kwani sio kitu kizuri kiroho kwani miili yao mingi imebeba laana, mikosi na mabalaa kwa kua wanalala na kitu mtu mwenye kila aina ya changamoto kwa sababu tu ya pesa.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ambokile Francis posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ambokile Francis:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share