
26/07/2025
Msanii ameweka wazi kuwa imepita miaka nane tangu mara ya mwisho akutane na msanii mwenzake wao walikuwa wana wasiliana kwenye simu pasipo kuonana
“Imagine Mara ya Mwisho tumekutana ni Mwaka 2017 na tumekuwa tukiwasiliana bila Kuonana .. Baada ya Miaka Takribani 8 Jana ndo tumekutana tena na Kwa Bahati Mbaya tu Kila Mtu akiwa Kwenye Mihangaiko Yake yakwenda kutafuta rizki” Ameandika Mbosso
———————————————————————————————
Karibu kutangazi nasi biashara yako kwa Bei nafuu sana.
Wasiliana nasi +255 688 986 518
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••