Masasi Yetu

Masasi Yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Masasi Yetu, Media/News Company, Ndanda, Masasi, .

•Official Account for News around Masasi District and other Mtwara, Lindi and Ruvuma Districts.
•Affiliated with Facebook group>MASASI YETU(Fahari Ya Kusini)

YouTube channel tunapatikana pia
https://youtube.com/?si=muKwivJ4KQnHI0a5

🛑 Ona Huyu 2016 baada ya kupata hela ya KOROSHO akaamua kwenda kupiga cement shamba nzima ili asipate taabu wakati wa ku...
26/10/2025

🛑 Ona Huyu 2016 baada ya kupata hela ya KOROSHO akaamua kwenda kupiga cement shamba nzima ili asipate taabu wakati wa kulimia.... Mwisho wa siku MIKOROSHO yote ikakauka 🤣🤣🤣🤣🤣.....

Tumepitia MAMBO mengi Sanaa 😂😂😂😂

26/10/2025

TATIZO lilianza pale pa kunywesha MBUZI soda 🤣🤣🤣🤣

🛑 TUNAWATAKIA USHINDI MWEMA KWENYE MECHI ZENU ZA KIFUZU HATUA YA MAKUNDI CAF CHAMPIONS LEAGUE 🙏🙏
25/10/2025

🛑 TUNAWATAKIA USHINDI MWEMA KWENYE MECHI ZENU ZA KIFUZU HATUA YA MAKUNDI CAF CHAMPIONS LEAGUE 🙏🙏

24/10/2025

Mara paaap MNADA WA KWANZA WA KOROSHO ni 3000/= 🤣🤣🤣🤣

KUMBUKUMBU YA AJALI YA BARAKA CLASSIC🕯️ YAPATA MIAKA MIWILI NA MIEZI 11 , Ilipotokea ajali ya basi la BARAKA Classic ina...
23/10/2025

KUMBUKUMBU YA AJALI YA BARAKA CLASSIC

🕯️ YAPATA MIAKA MIWILI NA MIEZI 11 , Ilipotokea ajali ya basi la BARAKA Classic inayofanya safari zake kutoka Newala kwenda Dar es salaam kupata ajali na kuua watu 14(12 wasafiri , na 2 watembea Kwa miguu) na kujeruhi watu 26.

Leo tunawakumbuka na kuwaombea marehemu awa

Mungu wapunguzie adhabu za kaburi 🙏🙏🙏🕯️🕯️🕯️

23/10/2025

Upupu + mbaazii kavu =???????😂😂😂

🛑 KANGOMBA 1500/= .... Tena hii ni KANGOMBA ya KISASA 😂😂😂😂
23/10/2025

🛑 KANGOMBA 1500/= .... Tena hii ni KANGOMBA ya KISASA 😂😂😂😂

🛑 Kwenye pita pita zangu.... Bango limeeleweka 😂😂😂
22/10/2025

🛑 Kwenye pita pita zangu.... Bango limeeleweka 😂😂😂

MWANAUME: Mke wangu Leo nitachelewa kidogo maana kazi imekuwa ngumu kidogo.MWANAMKE: Lala huko huko kwa Malaya wako,😠😠K*...
21/10/2025

MWANAUME: Mke wangu Leo nitachelewa kidogo maana kazi imekuwa ngumu kidogo.

MWANAMKE: Lala huko huko kwa Malaya wako,😠😠

K**a unapitia maisha ya kula Kwa jasho.... Usiache kupambana mkuu 🙏👇👇👇

21/10/2025

Kula Kwa jasho ni wakati wa kupumzisha fuvu aisee 😴😴😴

🛑 Uongozi wa MASASI YETU unawatakia mtihanii mwema wanafunzi wetu, watoto wetu , ndugu zetu wa DARASA LA NNE, utakaofany...
21/10/2025

🛑 Uongozi wa MASASI YETU unawatakia mtihanii mwema wanafunzi wetu, watoto wetu , ndugu zetu wa DARASA LA NNE, utakaofanyika kesho tar 22/10/2025 hadi tar 23/10/2025. Mungu baba awasimamie muweze kufanya vizurii mitihani yenu✍️✍️✍️🙏🙏

wish you all the best Guys 💐💐💐

21/10/2025

Umeamka Salama mwana MASASI YETU???

Address

Ndanda, Masasi

Telephone

+255692878912

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masasi Yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Masasi Yetu:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share