Goodluck Gozbert

  • Home
  • Goodluck Gozbert

Goodluck Gozbert Music is in my heart

 Nimepata baraka yenye nafasi ya kushirikishwa katika wimbo huu na Dada angu MADAM FLORA. barikiwa na wimbo huu
16/04/2020



Nimepata baraka yenye nafasi ya kushirikishwa katika wimbo huu na Dada angu MADAM FLORA. barikiwa na wimbo huu

Niambie neno moja tu la utukufu kwa Mungu. Injili iende mbele
10/12/2019

Niambie neno moja tu la utukufu kwa Mungu. Injili iende mbele

Kutoka kwa mtumishi Wayno. Je umeshaitizama hii? Ingia Youtube uitizame. Wayno - Baadae X Ben William X Victor SamuelIns...
05/11/2019

Kutoka kwa mtumishi Wayno. Je umeshaitizama hii? Ingia Youtube uitizame. Wayno - Baadae X Ben William X Victor Samuel

Instagram

Habakkuk 1:2 Kuna nyakati tunalalamika kuwa Mungu hafanyi ama anachelewa kufanya yale tuyatakayo. Kumbe ni vyema kusubiri maana wakati wa Mungu ni bora zaidi...

Unaweza kumbuka hapa ilikua mkoa gani?  Niandikie
26/10/2019

Unaweza kumbuka hapa ilikua mkoa gani? Niandikie

Nimrudishie nini Mungu kwa wema anaonitendea.......Ndugu zangu napenda kuwashirikisha jambo hili, ukiangalia W8 ni cover...
07/07/2019

Nimrudishie nini Mungu kwa wema anaonitendea.......
Ndugu zangu napenda kuwashirikisha jambo hili, ukiangalia W8 ni cover ya wimbo wangu NIPE iliyofanywa na na , moja kati ya Cover song ninayoipenda sana na kwa neema ya Mungu wimbo huo umeingizwa kwenye tuzo za maranatha awards nchini Kenya, nichukie nafasi hii kuwaomba kuwasupport Wayno na Ben kwa kuwapigia kura ili kuweza kufanikisha kushinda mashindano hayo nchini Kenya.

Namna ya Kupiga Kura ni kwa njia SMS kwa kupitia Whatsapp Messenger

Unaandika jina WAYNO unaacha nafasi kubwa kisha unaandika jina lako unaacha nafasi unamaliza kwa kuandika mahali ulipo. Unatuma kwenda namba +254710910515

Mfano:

WAYNO

GOODLUCK GOZBERT

Dar-es-salaam - Tanzania

Kwa maelezo zaidi whatsapp sms 0689590422

instagram follow

Video zote ambazo hujaziona zimo humu katika album hii   -  ...............................................................
13/04/2019

Video zote ambazo hujaziona zimo humu katika album hii - ........................................................................................
All videos that you haven't seen are available in this album -
Place your oders, contacts in bio

Cc

Sawa tunaweza kufurahia wimbo wetu na wale tuwapendao
04/04/2019

Sawa tunaweza kufurahia wimbo wetu na wale tuwapendao

27/10/2018
Tunduma mbarikiwe
27/10/2018

Tunduma mbarikiwe

Safari yangu kumtumikia Mungu haikuanzia hapa tu bali iko ndani ya moyo wangu
03/07/2017

Safari yangu kumtumikia Mungu haikuanzia hapa tu bali iko ndani ya moyo wangu

Hivi Umewahi Jiuliza Kwanini Tunaulizaga Sana Faida Za Mambo Kuliko Hasara?Mfano:Ni Rahisi Kuskia MTU Anakuuliza Hii Kit...
31/05/2017

Hivi Umewahi Jiuliza Kwanini Tunaulizaga Sana Faida Za Mambo Kuliko Hasara?

Mfano:Ni Rahisi Kuskia MTU Anakuuliza Hii Kitu Inaongeza Nini Mwilini Hata K**a Anachopewa Kina Madhara Hutoskia Anakuuliza Hii Ina Madhara Gani Mwilini, NEVER....!!! Kisha Mungu Akanifundisha Kitu Hapa..!! Shetani Huwapa Watu Deals Kwa Kuwatangazia Faida Zake Pekee, Na Anahakika Hakuna atakayeuliza Hasara Maana Wanadamu Tunapenda Kutazama Faida Zaidi Bila Kujali Madhara,

Sawa Umefanikiwa, Umepata Ulichotaka, Je Kiko Kwenye Mpango Na Kanuni Za Mungu??!! Mazingira Ya Baraka Kwa Akili Zako Alaf Umsingizie Mungu Amekubariki,
Acha Mungu Akubariki Baraka Zitakazorudisha Manukato Ya Sifa Mbele Zake..!!! **a Ulikua Hujui, Hata Mtu Anaweza Kumbariki Mtu Alafu Ikabaki Kazi Ya Mungu Kutia Muhuri Hizo Baraka, ( Soma Habari Ya Yakobo na Esau utanielewa) Au Mungu Anaweza Akawaangalia Tu Mnavyobarikiana Na Kumsingizia alaf Mwisho Zikageuka kuwa Laana Maana Hazikutiwa Muhuri Na Mungu

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goodluck Gozbert posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Goodluck Gozbert:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share