D media tz

D media tz Subscribe to our YouTube channel
https://www.youtube.com/

24/07/2025
  MABAKI YA MIILI YA BINADAMU ZAIDI YA 100 YAKUTWA MSITUNI DARMabaki ya miili ya watu zaidi ya 100 imekutwa katika msitu...
24/07/2025

MABAKI YA MIILI YA BINADAMU ZAIDI YA 100 YAKUTWA MSITUNI DAR

Mabaki ya miili ya watu zaidi ya 100 imekutwa katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji, kata ya Mbweni, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ikiwa imetelekezwa.

Mabaki hayo ya miili yalionekana jana katika eneo hilo majira ya jioni na kuvuta mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia tukio hilo.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisema , mabaki yalikuwa yamehifadhiwa katika mifuko ya plastiki ikiwa imefungwa juu.

Alisema mabaki hayo ambayo yamekaushwa na kuhifadhiwa katika mifuko ya ujazo wa kilo 25 ni pamoja na miguu, mikono, mbavu na mafuvu ya vichwa.

Alisema waliobaini kuwapo kwa mabaki hayo ni majirani wa eneo hilo ambao walitoa taarifa polisi.

Polisi walifika eneo la tukio na kuanza kupakia mabaki hayo katika gari lao lenye namba za usajili MS 54 UKH na kuipeleka hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alipoulizwa alisema wakati huo alikuwa eneo la tukio na kwamba angetoa taarifa baadaye.

🇦🇷 Lionel Messi with legendary numbers:👕 1112 games⚽ 872 goals🎯 385 assists🤝 1257 goal contributions🥅 69 free kick goals...
16/07/2025

🇦🇷 Lionel Messi with legendary numbers:

👕 1112 games
⚽ 872 goals
🎯 385 assists
🤝 1257 goal contributions
🥅 69 free kick goals
🏆 46 trophies
🏅 8 Ballon d’Ors

Unmatched greatness! 🐐

Pep Guardiola's infuence is crazy! 🤯🧠
15/07/2025

Pep Guardiola's infuence is crazy! 🤯🧠

🎙️Zinedine Zidane : " When my son Enzo played his first match against Messi and came home, he was very happy and told me...
15/07/2025

🎙️Zinedine Zidane : " When my son Enzo played his first match against Messi and came home, he was very happy and told me, "I played against Messi, it's a strange feeling." I asked him what you noticed about Messi. He said, "Messi doesn't run a lot. He walks and watches the game, and suddenly he scores! He doesn't waste his energy, but reads the game like a chess player." I laughed because that's exactly what I always notice about Messi. Messi knows how to use his slowness as a weap"n . My son got a Messi shirt, a football lesson, and a letter as well. What did he say to him? Messi told him, "You run a lot. You have to wait for the ball, don't run for it. Let it come to you. And next time you play against me, focus on the ball, not me, because the ball is what matters most." (Laughs). Enzo now hangs Messi's shirt in his room next to mine, but I think he's more proud of Messi's shirt. (Laughs)"

✍ Source : [ Actu France]

Marcus Rashford doing everything possible to secure a move to Barcelona
15/07/2025

Marcus Rashford doing everything possible to secure a move to Barcelona

Mnyama Lionel Messi mechi 5 zilizopita kaweka mabao 10 na kila mechi amefunga mabao mawili bila ya Penalti.King Leo sasa...
13/07/2025

Mnyama Lionel Messi mechi 5 zilizopita kaweka mabao 10 na kila mechi amefunga mabao mawili bila ya Penalti.

King Leo sasa amefikiasha michezo 1112 katika safari yake ya soka akifunga jumla ya mabao 872 na kutoa pasi za mabao 385 jumla amehusukia katika mabao 1257.

Amefunga mabao ya Freekick 69 akitwaa jumla ya Makombe 46 na Ballon d’Ors 8.

Thank you kwa KIJILI
13/07/2025

Thank you kwa KIJILI

🖐️🖐️🖐️
13/07/2025

🖐️🖐️🖐️

Thank you kwa Master pass
12/07/2025

Thank you kwa Master pass

Thank you kwa Valentin Nouma
12/07/2025

Thank you kwa Valentin Nouma

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when D media tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share