Habarimpya

Habarimpya Japo Investment Network Limited is the primary private agency that aims at coordinating, encouraging, promoting and facilitating investments in Tanzania

Japo Investment Network Limited is the primary private agency that aims at coordinating, encouraging, promoting and facilitating investments in Tanzania and worldwide. The company advises the investors on investment matters, and links them directly to the Tanzania Investment Centre (TIC). The firm is a focal point for investors in getting potential information of investment areas in Tanzania, such

as business registration, license and business approval. Japo also markets investment areas available in the country through its website, and directs how the community can benefit through such ventures. Japo plans to create jobs opportunities for Tanzania experts in the investment networking for the development of the country. The firm also aims to involve the nearby community in the investment benefits.

16/09/2022

KONA YA MWANASPOTI LEO:
- Namna ambavyo klabu zinaweza kujiendesha zenyewe
- Preview game za marudio kimataifa
- Road to World Cup

16/09/2022

: 'Panyarodi' sasa tishio// Maswali yaibuka mazishi ya mtoto anayedaiwa kujipiga risasi

15/09/2022

Ni mauaji ya kutisha, Mchakamchaka wa tozo ni balaaa

14/09/2022

Kashfa tena polisi raia akidaiwa kufia kituoni || Tozo za miamala

13/09/2022

🔴 : MORNING MWANANCHI: Mifumo ya kodi, tozo kikwazo, Rais Samia kushiriki uapisho Dk Ruto

12/09/2022

KONA YA MWANASPOTI:
- Siri ushindi wa Yanga, Simba CAF
- UEFA kunoga wiki hii
- Simba moto mkali, Mgunda aanika siri
- Nabi Ang'aka, ajibu mapigo kisa vyeti

12/09/2022

Kimbunga cha tozo chanukia bungeni, wasambazaji picha chafu kitanzini

09/09/2022

KONA YA MWANASPOTI SEPT 9, 2022:

08/09/2022

Lissu afunguka kuhusu kurejea // Serikali, benki kujadili tozo

07/09/2022

Matokeo ya sensa kutangazwa.

-Taharuki machinjio ya vingunguti wachinjaji wamegoma kuchinja.

-Mv mwanza kuanza Huduma
Octoba.

- Ahueni Bei ya mafuta kupungua

-Makamishna wa ardhi watakiwa kujitathmini

4. Lugha maana ya msamiati Stahamala

Hali aliyonayo mtu kuweza kuvumilia jambo K**a vile matatizo

05/09/2022

Kipindi cha michezo kinachojadili na kuchambua habari mbalimbali za michezo za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

NDANI YA KONA MWANASPOTI LEO
- TFF yampiga stop Kisinda
- Zoran akuna kichwa Simba
- Ten Hag ampa neno C.Ronaldo
- Vita ya mabao EPL
- Azam: Yanga haitaamini
- Dejan Apewa ujanjaWadau wamshangaa Mwakinyo
- Sopu aitamani Yanga

05/09/2022

Ubadhirifu wa fedha NHIF, 21 WAFARIKI, hukumu ya Kenya kutikisa

02/09/2022

Kilio tozo za miamala ya kibenki// mwigulu akubali kuzipitia

01/09/2022

Vigogo polisi wakaliwa kooni, Aliyefukuzwa kazi TRC kupinga tozo aachiwa

30/08/2022

🔴 #𝐋𝐈𝐕𝐄: MORNING MWANANCHI: Mtikisiko NHIF azusha hofu, sababu Samia kuteua zaidi majaji wanawake

29/08/2022

KONA YA MWANASPOTI:
Kipindi cha uchambuzi wa habari na taarifa mbalimbali za michezo za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania
MADA:
1. Taifa Stars na kibarua kizito Uganda
2. Simba vs Asante Kotoko
3. Sajili za mastaa ndani na nje ya Tanzania.

Zimesalia dakika 90 tu kwa timu ya taifa Taifa Stars kujua hatma ya kwenda fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2023) Baada ya jana kufungwa nyumbani kwa bao 1-0 na Uganda

29/08/2022

Kimeumana Chadema yashusha mzigo kwa Mwigulu, vikwazo tele Sensa

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habarimpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habarimpya:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share