Swalahudin Foundation ni UKURASA maalum Kwa ajili kutoa taarıfa mbalimbali zihusuzo Taasisi yetu. Wote mnakaribishwa!
Huu ni UKURASA maalum kwa ajili ya mambo mbalimbali yahusuyo dini yetu tukufu ya UISLAMU!
23/06/2025
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAJIOUN
Ni mhudumu wa Msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni!
Allah amsamehe makosa yake mzee wetu.
31/05/2025
Maandalizi ya Eid 06.06.2025
Karibuni sana
23/05/2025
Zingatia kwa ajili ya Allah
21/05/2025
NAMPENDA MTUME MOHAMMAD, (S.A.W) WEWE JE?
21/05/2025
18/05/2025
UJUMBE MUHIMU SANA KWA WAISLAM TU
K**a wewe ni Muislam na unaifolo account hii tafadhali angalia video hii toka kwa Jafari Mponda kisha Like na Share ili upate thawabu kwa kueneza neno la Allah.
K**a hujapata mazingatio yeyote kwenye video hii basi usifanye chochote.
27/03/2025
Tunapokea Zakaatul Fitri na kugawa kwa walengwa kwa niaba yako.
Zakaatul Fitri ni lazima kwa kila Muislam mwenye uwezo.
Zakaatul Fitri hutoleqa ili kumtakasa mfungaji kutokana na mapungufu yaliyojitokeza wakati wa funga.
Allah azipokee funga zetu.
Arusamehe makosanyetu.
Allahuma aamin
23/10/2024
Mtoto huyu ameokotwa mtaa wa Mbondole kata ya Msongola wilaya ya Ilala.
Anaonekana kuwa na tatizo la akılı.
Yupo kwa Sheikh Salim Haji
Simu 0715243033/0692371933
09/10/2024
Sadaka yako, Pepo yako.
04/10/2024
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Leo siku ya Ijumaa kuanzia saa mbili kamili asubuhi Inshaa Allah nitakuwa live kupitia TV na Radio İmaan kuzungumza kuhusu dini yetu TUKUFU ya Usilam.
20/08/2024
INNAA LILLAH WAINNAA ILAYHI RAJIOUN
Sheikh Muharram Juma Doğa amefariki Dunia usíku wa kuamkia leo.
Hakika Tanzania imeondokewa na Mwanazuoni wa pekee
Hakika waislam wa Tanzania na Afrika Mashariki wamepatwa na msiba mzito sana.
Ewe MOLA wetu mlipe Malipo ya juu sana Sheikh wetu na pale alipoteleza msamehe kwa huruma Yako.
Allahuma aamin
31/03/2024
ZAKAATUL FITRI
ntunafanya kazı kwa niaba yako.
Allah ajalie wenye uwezo waone umuhimu wa kutekeleza ibada hii muhimu
Be the first to know and let us send you an email when Swalahudin Foundation TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.