
23/08/2025
MATUKIO KATIKA PICHA: Waamini mbalimbali wa Kanisa kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika mkesha maalum kuliombea taifa letu haki na amani leo hii Agosti 23, 2025 ambapo Misa na maombi mbalimbali yalifanyika kuanzia asubuhi na kukesha usiku mzima hadi kesho Jumapili.
Kwa pamoja tuungane kumuomba Mungu aiongoze nchi yetu katika ulindwaji wa haki na amani.
www.jugomedia.net