Agape Television Network ( ATN )

  • Home
  • Agape Television Network ( ATN )

Agape Television Network ( ATN ) TWITTER: https://twitter.com/ATN_TZ
YOUTUBE: https://www.youtube.com/ ATN is the Educational and Inspirational Channel in Tanzania.

ATN has 9 stations all over the country and very wide coverage. The stations are located in: Dar-es-Salaam, Morogoro, Arusha, Tanga, Dodoma, Mwanza, Kigoma, Sumbawanga, Mbeya. Agape Television Network (ATN) the Educational and Inspirational Channel in Tanzania since September 15, 2001. Education in all areas are the most crucial part of this network. Since its inception till today various programs

from religious to secular education is being produced and broadcasted through out. Programs such as: Newspapers reading on headlines which is being rebroadcasted via other radio stations in Tanzania everyday is a program in demand. Local and International news programs, sports, music, education on women, men, youth, various discussion programs, religious education, children's programs, matters arising, programs, movies etc are part of their packages. Any organization or institution who wishes to use ATN to educate in any area are welcome to use this media channel.

24/07/2025
24/07/2025

Mwkt CPCT Taifa Auombea Amani Mkutano Wa Kamati Kuu CCM

24/07/2025

Maombi kutotokea machafuko na mgawanyiko katika mkutano wa kamati kuu ccm

24/07/2025

Mtu Yoyote Alietoa Rushwa Asipite Mkutano Kamati Kuu CCM

24/07/2025

Matamko Kutoka Uongozi Wa Makanisa Ya CPCT Dar Es Salaam

Klabu ya soka ya SSC Napoli ya nchini Italia imefanya makosa ya kuchapisha maandishi kwenye jezi zake mpya za msimu wa m...
24/07/2025

Klabu ya soka ya SSC Napoli ya nchini Italia imefanya makosa ya kuchapisha maandishi kwenye jezi zake mpya za msimu wa mwaka 2025/26 kwa kukosea herufi za neno ''Authentic" ambalo ni neno la lugha ya Kiingereza likimaanisha 'HALISI' kunako tafsiri ya lugha ya Kiswahili na kuandika "Autentic" ambalo ni makosa.

Baada ya kugundulika kwa makosa hayo, duka rasmi la mtandaoni la klabu ya Napoli limefuta picha zote zilizokuwa zikionyesha makosa yao ili kufanyia marekebisho.

24/07/2025

Klabu inayoshiriki Ligi kuu ya PLS nchini Afrika Kusini Orlando Pirates imetambulisha jezi mpya zitakazo tumika msimu ujao wa 2025/2026.

Unaupa asilimia ngapi utambulisho huu wa Jezi za Orlando Pirates!!?

ROMAN FOLZ : A new coach in town .....'Kocha jipya mujini..!!!'. Roman Folz ndiye kocha mpya wa Yanga kuanzia sasa...!!!...
24/07/2025

ROMAN FOLZ : A new coach in town .....'Kocha jipya mujini..!!!'.
Roman Folz ndiye kocha mpya wa Yanga kuanzia sasa...!!!
Huyu ni yule aliyekuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundowns kwa msimu mmoja...na umri wake ni miaka 35.
Je, unamtabjria nini Jangwani!!?

Yanga imeamua usajili msimu huuHaya Abdulnassir Abdallah (Casemiro) ni Mwananchi akitokea Mlandege ya Visiwani Zanzibar
24/07/2025

Yanga imeamua usajili msimu huu
Haya Abdulnassir Abdallah (Casemiro) ni Mwananchi akitokea Mlandege ya Visiwani Zanzibar

Rasmi uongozi wa Yanga SC umetangaza kwamba kuelekea msimu ujao wa 2025-2026, wachezaji nyota wake watano hawatakuwa seh...
24/07/2025

Rasmi uongozi wa Yanga SC umetangaza kwamba kuelekea msimu ujao wa 2025-2026, wachezaji nyota wake watano hawatakuwa sehemu ya kikosi hicho ikiwa ni mwendelezo wa maboresho ya kikosi hicho huku zoezi la kusajili nyota wengine likiendelea.

Nyota hao watano walioondoka Yanga na hawatakuwepo kwenye mipango ya timu kwa msimu ujao ni Aziz Ki ambaye ameuzwa, Wengine ni Khalid Aucho, Clatous Chama, Kennedy Musonda na Jonas Mkude.

Mwaka 2020, Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa alifariki dunia.Mkapa alikuwa Rais kuanzia mwaka 1995 hadi...
24/07/2025

Mwaka 2020, Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa alifariki dunia.
Mkapa alikuwa Rais kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agape Television Network ( ATN ) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share