22/07/2025
🎭 Leo ni usiku wa TUONEKANE WOTE!
Hii siyo tu show ya vicheko — ni reunion ya vipaji, ndoto, na watu wanaopenda burudani ya kweli! 🙌🏾
K**a una kipaji, au unajua kucheka tu, wewe ni sehemu ya jukwaa hili!
Usikose nafasi ya kuwa sehemu ya familia ya Punchline —
leo tunawakilisha hadharani! 😂🔥
📅 Leo – Jumanne Usiku
🕖 Saa 1 kamili usiku (7:00 PM sharp)
📍 Punchline Comedy Club, The Cube (Slipway)
💥 KIINGILIO BURE!